LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Ni dk yapata 30 nipo kwenye jam barabara ya Arusha Nairobi kuna foleni yapata karibu mji mzima. Tetesi katika foleni ni kwamba Mkuu yupo njia moja kuelekea Monduli TMA kuwapa nishani maafisa.
Sasa jam yote karibu lisaa bila hata tukio ya kupita kwake ya nini?
Sasa jam yote karibu lisaa bila hata tukio ya kupita kwake ya nini?