Hili la kiongozi hajamaliza hata chai tunaanza kuwekewa jam hapa A town sasa ni KARAHA tupu.


LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,017
Likes
176
Points
160
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,017 176 160
Ni dk yapata 30 nipo kwenye jam barabara ya Arusha Nairobi kuna foleni yapata karibu mji mzima. Tetesi katika foleni ni kwamba Mkuu yupo njia moja kuelekea Monduli TMA kuwapa nishani maafisa.

Sasa jam yote karibu lisaa bila hata tukio ya kupita kwake ya nini?
 
Pastor Achachanda

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
3,035
Likes
960
Points
280
Pastor Achachanda

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
3,035 960 280
Jam ni nini?
 
Fede Masolwa

Fede Masolwa

Verified Member
Joined
Oct 26, 2013
Messages
528
Likes
6
Points
35
Fede Masolwa

Fede Masolwa

Verified Member
Joined Oct 26, 2013
528 6 35
Kumbe kiswahili ina tafsiri nyingi sana!
Jam=
Jam=
Jam=Mi nasemea ya foleni ya magari isiyokuwa na mpango wowote!
Hebu wekeni maana nyingine hapo juu.
jamshidi ni jina kifupi JAM
 
I

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
678
Likes
35
Points
45
I

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
678 35 45
Ungekuwa dar si ndo ungepasuka?
 
K

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Messages
589
Likes
7
Points
0
K

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2013
589 7 0
ukitaja chai jam ni dadake siagi
 
R

Rayman ProphetMcRay

Senior Member
Joined
Dec 8, 2012
Messages
179
Likes
0
Points
0
R

Rayman ProphetMcRay

Senior Member
Joined Dec 8, 2012
179 0 0
Ni dk yapata 30 nipo kwenye jam barabara ya Arusha Nairobi kuna foleni yapata karibu mji mzima. Tetesi katika foleni ni kwamba Mkuu yupo njia moja kuelekea Monduli TMA kuwapa nishani maafisa.

Sasa jam yote karibu lisaa bila hata tukio ya kupita kwake ya nini?
Mr. Prezdah alishasema folen ni ishara ya maendeleo, kwahyo usihuzunike kamanda hayo ndo maendeleo yenyewe.!
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Kumbe kiswahili ina tafsiri nyingi sana!
Jam=
Jam=
Jam=Mi nasemea ya foleni ya magari isiyokuwa na mpango wowote!
Hebu wekeni maana nyingine hapo juu.
Hii ya magari inaitwa traffic jam au msururu mrefu wa magari.
 

Forum statistics

Threads 1,238,349
Members 475,888
Posts 29,317,826