Hili la kiongozi hajamaliza hata chai tunaanza kuwekewa jam hapa A town sasa ni KARAHA tupu.

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Ni dk yapata 30 nipo kwenye jam barabara ya Arusha Nairobi kuna foleni yapata karibu mji mzima. Tetesi katika foleni ni kwamba Mkuu yupo njia moja kuelekea Monduli TMA kuwapa nishani maafisa.

Sasa jam yote karibu lisaa bila hata tukio ya kupita kwake ya nini?
 
Mr. Prezdah alishasema folen ni ishara ya maendeleo, kwahyo usihuzunike kamanda hayo ndo maendeleo yenyewe.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom