Tuoneshe mmoja kati ya waliopita aliyefanya zaidi ya Kikwete chochote kile ukipendacho, tukimaliza tutaenda kingine, anza na kimoja tu.
This is a challenge.
Mkumbushie pia bei ya sukari na mchele wakati wa Mkapa na bei ya bidhaa hizo sasa chini ya Kikwete. Unaweza kuongezea ni kwa nini serikali ya Kikwete imelazimika kukopa ili kulipa mishahara ya wafanyikazi. Enzi za Mwalimu licha ya kwamba tulikuwa na matatizo yanayoeleweka mishahara ya wafanyikazi ililipwa on time tena bila kukopa benki yeyote ile. Mkumbushie yote hayo.Enzi za mkapa fedha ilikuwa na thamani sana na hasa dollars... one dollar sawa na 700 hadi 900 sasa hadi 1750 huu ni upuuz!
Pia ulikuwa ukitoa mwekundu unanunua ktu watu walikuwa wanastaajabu sasa hv unatoa mwekundu unanunua vocha ya mia tano man change unapata bila mguno...
Shame on You
Duh! Mbona umekuwa mkali ghafla?Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.
Ninaamini huwa unawadharau sana wale ambao huwa wanakubaliana na hoja zako za kutunga huku ukitumia JF Id nyingine.
MOD's walitusaidia sana kwa kutufunulia aliyeko nyuma ya Id hii ya Janson Bourne baada ya kuunganisha JF Id zako.
Tumelitunza andiko la moderator kama record pamoja na kuifuta thread na comment na hatutasita kukukumbusha na kuwaeleza wanajf pale tunapoona unaendelea kuleta habari za kutunga kama hii habari.
Ni vizuri tu ukatumia Id yako inayofahamika pamoja na kupata misukosuko kutoka kwa Andrew Nyerere baada ya kujinasibisha kama na wewe ni mmoja wa watoto wa Mwl.
Mbio za mlaghai huishia ukingoni.
Jeshi la polisi lililochini ya chama ambacho wewe ni katibu mwenezi lilisema hii pale tulipokutanishwa na Zitto katika kesi aliyosema mimi nimemtishia maisha!,
Uongozi wa JF uliheshimu hili tangu siku hiyo, mimi pia niliheshimu hilo tangu siku nilipoambiwa ni id yangu, Nakushangaa wewe huheshimu hilo na unavunja sheria za jf ulizokubali kuzifuata pindi uwapo hapa.
Jisomee hapa.
Elimu ya Msingi.
Enzi za mkapa fedha ilikuwa na thamani sana na hasa dollars... one dollar sawa na 700 hadi 900 sasa hadi 1750 huu ni upuuz!
Pia ulikuwa ukitoa mwekundu unanunua ktu watu walikuwa wanastaajabu sasa hv unatoa mwekundu unanunua vocha ya mia tano man change unapata bila mguno...
Shame on You
Jengo likiungua ni ufisadi umeunguzwa Faiza! Majengo yote yanayoungua hata huko uswekeni nayo ni ufisadi! Yale yanayoungua huko Ulaya na kwingineko?
Chagua neno lililo sahihi...kisha jenga hoja kuhusu post yangu.
Kati ya MwanaDiwani, FaizaFoxy na Yericko Nyerere ni nani anajitambulisha kwa jina lake halali tena kwa image yake halisi? Mkipata majibu tumieni wasaa huo kutafakari uwezo wenu kiakili. Msijaribu kujenga hoja ambazo zinawasuta wenyewe. Hoja hujibiwa kwa hoja tena kwa fikra huru.
cc: MwanaDiwani, FaizaFoxy.
Huyo hata asipokumbushwa hakuna asichokijua tatizo lake ni udini zaidi hana cha maana anachotetea,ukiangalia michango yake inaegemea hukohuko.Mkumbushie pia bei ya sukari na mchele wakati wa Mkapa na bei ya bidhaa hizo sasa chini ya Kikwete. Unaweza kuongezea ni kwa nini serikali ya Kikwete imelazimika kukopa ili kulipa mishahara ya wafanyikazi. Enzi za Mwalimu licha ya kwamba tulikuwa na matatizo yanayoeleweka mishahara ya wafanyikazi ililipwa on time tena bila kukopa benki yeyote ile. Mkumbushie yote hayo.
Hatuongelei jengo, tunaongelea BOT, Bank of Tanzania! aliyowachiwa Mwinyi haina fedha za kigeni kabisa. Zilienda wapi? au ndiyo ziliunguwa na moto?
Wewe naona unaupungufu wa kifaa cha kufikiri na kutambua mambo kilichopo ndani ya kichwa chako, hivi hili sakata la Riz 1 kukamatwa na sembe China kama ingekuwa ni uongo imekuwaje hadi Baba yake amelikana hili mwezi 7 2014 na sio kipindi kile tena lingekanwa nadani ya nchi na sio nje kama alivyofanya.
saikologia unaonekana unamkubali nyerere ila udini unakusumbua faiza.
Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.
Ninaamini huwa unawadharau sana wale ambao huwa wanakubaliana na hoja zako za kutunga huku ukitumia JF Id nyingine.
MOD's walitusaidia sana kwa kutufunulia aliyeko nyuma ya Id hii ya Janson Bourne baada ya kuunganisha JF Id zako.
Tumelitunza andiko la moderator kama record pamoja na kuifuta thread na comment na hatutasita kukukumbusha na kuwaeleza wanajf pale tunapoona unaendelea kuleta habari za kutunga kama hii habari.
Ni vizuri tu ukatumia Id yako inayofahamika pamoja na kupata misukosuko kutoka kwa Andrew Nyerere baada ya kujinasibisha kama na wewe ni mmoja wa watoto wa Mwl. Nyerere.
Mbio za mlaghai huishia ukingoni.
Una matatizo ya uelewa.
Dollar zinakuhusu nini wewe?
Porojo, ufisadi ulianzia kwa Nyerere, umesahau BOT ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.
Umesahau wizara ya mambo ya ndani ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.
Umesahau nchi ilikuwa masikini wa mwisho duniani? au ulikuwa hujazaliwa bado.
Eti "Washington walimweka kitako juzi".
Huo ni uongo usio na mfano.
Punguani wahed.
cc Yericko Nyerere
Elimu ya msingi imefanya nini?
Pata darsa kidogo;
Nyerere 1984:
[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[TR]
[TD]Primary education, pupils[/TD]
[TD] 3.49 million[/TD]
[TD]1984[/TD]
[TD] 30th out of 161[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kikwete 2012:
[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[TR]
[TD]Primary education, pupils[/TD]
[TD] 8.25 million[/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD] 4th out of 88[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source:
Tanzania Education Stats: NationMaster.com
Tanzania Education Stats: NationMaster.com
Nani zaidi?
Elimu ya msingi imefanya nini?
Pata darsa kidogo;
Nyerere 1984:
[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[/TABLE]
[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[TR]
[TD]Primary education, pupils [/TD]
[TD] 3.49 million [/TD]
[TD]1984[/TD]
[TD] 30th out of 161[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kikwete 2012:
[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[TR]
[TD]Primary education, pupils [/TD]
[TD] 8.25 million [/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD] 4th out of 88
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source:
Tanzania Education Stats: NationMaster.com
Tanzania Education Stats: NationMaster.com
Nani zaidi?