Hili game: Hivi ni nani Starring?

Hili game: Hivi ni nani Starring?

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,378
Reaction score
3,392
couple-in-bed.png

Mabibi na Mabwana le ninalo swali naomba mnipe majibu ya yakini. Hivi kwenye tendo la kujamiiana ni nani starring kati na mtu mume na mtu mke? Yaani ni nani anayepiga game mpaka mwisho na akaonekana bado yuko imara kuendelea?

Nauliza hivyo kwa sababu kuna kitu nimegundua lakini mfumo dume umemudu kuficha ukweli na na kufanya mambo yaonekane tofauti na uhalisia.

Hivi ni kwa nini mwanamke akifika kileleni anaweza kuendelea kupiga game tofauti na mwanaume akishamaliza ngoma inalala doro na mchezo unakuwa umekwisha anageukia ukutani na kupiga usingizi huku akikoroma?

Ni vyema kutafakari ili tusinyoosheane vidole wakati ukweli unajulikana wazi kwamba starring ni nani, lakini kwa sababu ya kusitiri ego zao inabidi tuwe wapole na kuwapa vichwa maana waliaminishwa kwamba wao ni vichwa vya nyumba.

CC: Asprin, Bazazi KakaKiiza, Kaizer, Ruttashobolwa, Teamo, Nyani Ngabu, Kiranga, Mndengereko, mwekundu, Mentor, watu8, C6 Jiwe Linaloishi, Filipo, Arushaone, Mr Rocky, Erickb52, PakaJimmy, ayanda, Eiyer
 
Kibailojia mwanamme kaumbwa hivyo, akimaliza lazima apate muda wa kupumzika, akikojoa lazima 'Abdalah Kichwawazi' alale kwanza, then baadae ndo anaamka!
 
Kwa hiyo ukweli umeshajulikana kwamba sterling ni nani si ndivo hivo?
 
Unatakiwa ujue kuwa mwanaume akimaliza kupiga game nikama amesukuma gari lenye uzito wa ton 2 kutokana na Calories anzo burn Hivyo usione ule uji unatoka ukadhani unatoka karibu najiulize unatengenezwa baada ya siku ngapi nazaidi ukifanya kuzidisha zaidi unakojoa damu!!Hupo my Zinduna??
 
Last edited by a moderator:
Zinduna, waombe mods wabadilishe neno "sterling" (jina la pesa za Kiingereza au mengine) ambalo nnauhakika haiwezi kuwa ndiyo maana uliyoikusudua kwenye mada, na liwe amma steering (anaeshika usukani) au starring (nyota wa mchezo). Na humo kwenye mada ufanye ka editing kubadili "sterling" na kuweka neno sahihi.
 
starring aliyekuleta Ghetto baaaaaasiiiiiiii!! ndo maana masai alimuambia mdada "acha iingie yenyewe" alihoji kutongoza kakutongoza nani mdada akajb wewe,msosi kaukulipia nani ww,gest amelipia nani ww .....sasa nasema "asa iingie yenyewe hamna kukatikia (in masai tune)"
 
Unatakiwa ujue kuwa mwanaume akimaliza kupiga game nikama amesukuma gari lenye uzito wa ton 2 kutokana na Calories anzo burn Hivyo usione ule uji unatoka ukadhani unatoka karibu najiulize unatengenezwa baada ya siku ngapi nazaidi ukifanya kuzidisha zaidi unakojoa damu!!Hupo my Zinduna??
Leo wanaume wote watageuka waalimu wa baiolojia haki ya Mungu
hebu malizia basi ili somo litimie ule uji unatengenezwa na nini vile?
 
Zinduna, waombe mods wabadilishe neno "sterling" (jina la pesa za Kiingereza au mengine) ambalo nnauhakika haiwezi kuwa ndiyo maana uliyoikusudua kwenye mada, na liwe amma steering (anaeshika usukani) au starring (nyota wa mchezo). Na humo kwenye mada ufanye ka editing kubadili "sterling" na kuweka neno sahihi.
hsante FaizaFoxy, si unajua siye Wazenjibari hayo mambo ya kiingereza wanayajua wenyewe waingereza, ningependa kutumia neno mshika sukani kama tusemavyo huku Visiwani lakini watu wa huko Bara wala wasingenielewa wallahi
 
Last edited by a moderator:
Huwezi mpata steling kwa kulinganisha hivyo maana mmoja anafika kwa kutoa mbegu mwingine kwa kutoa maji ya mwili.Hivyo tafuta vigezo vingine sio hicho labda ingekuwa na maana kama mwanamke akifika kileleni anatoa yai la uzazi,
 
Hivi Zinduna hapo bazazi ni nani?

haalfu ukitaka kujua starring ni nani, hebu njoo nikuonyeshe kwa vitendo. Udereva wa gari haufundishwi tu darasani kuna na muda wa kufanya mazoezi, ndiposa unaweza kusema umefuzu
 
Last edited by a moderator:
Labda nijibu kwa kuuliza swali. Bi Zinduna ni kwanini takwimu nyingi zinaonesha wahanga wakubwa wa ubakwaji ni wanawake tofauti na jinsia ya pili?
Hutanijibu lakini lemme tell you, maumbile ya mwanamke na mwanamume ni tofauti kama ujuavyo, ni rahisi sana mwanamke kulazimishwa kufanya tendo pendwa bila hata ridhaa yake ama kufanya tu kumridhisha opponent wake hata kama hajisikii wakati mwanaume ni tofauti kwamba kama dushelele likileta ugoi goi hakuna mtanange hapo unless futher notes. Kwa sababu hiyo inawezekana kwenye haya mambo hakuna bingwa ila mwenye jinsia ya kike anatumia advantage ya maumbile kuonesha bado yuko fit ilihali kusuuzika kwa nafsi in proportionally na anayesubiri kuutia kasi!
 
Leo wanaume wote watageuka waalimu wa baiolojia haki ya Mungu
hebu malizia basi ili somo litimie ule uji unatengenezwa na nini vile?
Umeambiwa urekebishe maneno ukweli ndo huo unachotaka kujua uji unakotoka au unavyotengenezwa?
 
Huwezi mpata steling kwa kulinganisha hivyo maana mmoja anafika kwa kutoa mbegu mwingine kwa kutoa maji ya mwili.Hivyo tafuta vigezo vingine sio hicho labda ingekuwa na maana kama mwanamke akifika kileleni anatoa yai la uzazi,
Acha uongo, wanaume wenzako wote wamekubali maudhaifu yao weye tu waleta za kuleta
 
Dereva akae nyuma abiria tuwe mbeleee
Tupige vigelegele tukishafika salamaaa.... salamaaaa...
 
Hivi Zinduna hapo bazazi ni nani?

haalfu ukitaka kujua starring ni nani, hebu njoo nikuonyeshe kwa vitendo. Udereva wa gari haufundishwi tu darasani kuna na muda wa kufanya mazoezi, ndiposa unaweza kusema umefuzu

Wewe mbona mwepesi sana tu waijua ngoma ya kilugwai weye, usije kimbia bure
 
Labda nijibu kwa kuuliza swali. Bi Zinduna ni kwanini takwimu nyingi zinaonesha wahanga wakubwa wa ubakwaji ni wanawake tofauti na jinsia ya pili?
Hutanijibu lakini lemme tell you, maumbile ya mwanamke na mwanamume ni tofauti kama ujuavyo, ni rahisi sana mwanamke kulazimishwa kufanya tendo pendwa bila hata ridhaa yake ama kufanya tu kumridhisha opponent wake hata kama hajisikii wakati mwanaume ni tofauti kwamba kama dushelele likileta ugoi goi hakuna mtanange hapo unless futher notes. Kwa sababu hiyo inawezekana kwenye haya mambo hakuna bingwa ila mwenye jinsia ya kike anatumia advantage ya maumbile kuonesha bado yuko fit ilihali kusuuzika kwa nafsi in proportionally na anayesubiri kuutia kasi!

Hapa nimezungumzia wapenzi wanaopendana kwa dhani na wanapotaka kulifanya tendo kwa burudani, sijazungumzia kubakwa. sasa kama mwanaume kamaliza na mwanamke bado anataka game lichezeke na mwanaume ni kwanza anageukia ukutani nani sterring hapo?
 
Rudi kwenye kipengele cha maumbile! Mapenzi ya dhati yapo tu kwa njiwa na paka!
 
Back
Top Bottom