Hili game: Hivi ni nani Starring?

Hili game: Hivi ni nani Starring?

kuunganisha kwa mke? ni kweli unaweza unganisha mbili na sio nne. kumbuka huyu haongelei wapenzi ambao hukaa miaka na kukutana wakiwa na maugwadu , anaongelea mme na mke ambao mapenzi kwao sio ugwadu bali starehe. kijana wa miaka 20 anapobalee anaweza enda hata goli sita au nane kwa kuunganisha au kupishana dk 10 alkini hiyo huwa ndani ya siku mbili tatu mfululizo au wiki. kuunganisha to be honest huwa ni kwa mbili tu.
hajatanabaisha uwezo wa kuendelea ni hadi raundi ngapi. labda umuongezee maelezo wewe, alichosema ni uwezo wa kufika mwisho na bado kuwa na nguvu ya kuendelea. mwisho hakuutaja ni wa raundi ngapi yaweza kuwa ni ile ya kwanza au hata ya 30 (kama inawezekana)
hivi mume na mke hawawezi kukutana baada ya muda wakiwa na "maugwadu"?? na nani alikudanganya kuwa na "maugwadu" ni kigezo cha kuwa na uwezo wa kuzunguka raundi nyingi kwa kuunga???
huyu kijana wa miaka 20 unaemuongelea ni wa karne ipi??
 
couple-in-bed.png



Mabibi na Mabwana le ninalo swali naomba mnipe majibu ya yakini. Hivi kwenye tendo la kujamiiana ni nani starring kati na mtu mume na mtu mke? Yaani ni nani anayepiga game mpaka mwisho na akaonekana bado yuko imara kuendelea?

Nauliza hivyo kwa sababu kuna kitu nimegundua lakini mfumo dume umemudu kuficha ukweli na na kufanya mambo yaonekane tofauti na uhalisia.

Hivi ni kwa nini mwanamke akifika kileleni anaweza kuendelea kupiga game tofauti na mwanaume akishamaliza ngoma inalala doro na mchezo unakuwa umekwisha anageukia ukutani na kupiga usingizi huku akikoroma?

Ni vyema kutafakari ili tusinyoosheane vidole wakati ukweli unajulikana wazi kwamba starring ni nani, lakini kwa sababu ya kusitiri ego zao inabidi tuwe wapole na kuwapa vichwa maana waliaminishwa kwamba wao ni vichwa vya nyumba.


CC: Asprin, Bazazi KakaKiiza, Kaizer, Ruttashobolwa, Teamo, Nyani Ngabu, Kiranga, Mndengereko, mwekundu, Mentor, watu8, C6 Jiwe Linaloishi, Filipo, Arushaone, Mr Rocky, Erickb52, PakaJimmy, ayanda, Eiyer


Jibu moja ni tu Zinduna: Ni kwa ajili ya maumbile.

Nimemaliza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom