Mabibi na Mabwana le ninalo swali naomba mnipe majibu ya yakini. Hivi kwenye tendo la kujamiiana ni nani starring kati na mtu mume na mtu mke? Yaani ni nani anayepiga game mpaka mwisho na akaonekana bado yuko imara kuendelea?
Nauliza hivyo kwa sababu kuna kitu nimegundua lakini mfumo dume umemudu kuficha ukweli na na kufanya mambo yaonekane tofauti na uhalisia.
Hivi ni kwa nini mwanamke akifika kileleni anaweza kuendelea kupiga game tofauti na
mwanaume akishamaliza ngoma inalala doro na mchezo unakuwa umekwisha anageukia ukutani na kupiga usingizi huku akikoroma?
Ni vyema kutafakari ili tusinyoosheane vidole wakati ukweli unajulikana wazi kwamba starring ni nani, lakini kwa sababu ya kusitiri ego zao inabidi tuwe wapole na kuwapa vichwa maana waliaminishwa kwamba wao ni vichwa vya nyumba.
CC:
Asprin, Bazazi
KakaKiiza,
Kaizer,
Ruttashobolwa,
Teamo,
Nyani Ngabu,
Kiranga,
Mndengereko,
mwekundu,
Mentor,
watu8,
C6 Jiwe Linaloishi,
Filipo,
Arushaone,
Mr Rocky,
Erickb52,
PakaJimmy,
ayanda,
Eiyer