Hili Basi litaua

Hili Basi litaua

Leina ni balaa!!!! yaani huwa haya mabasi yanapita basi zingine kama zimepaki wakati nazo unakuta ziko full speed

Zile mbwembwe za speed gavana ziliishia wapi, au watu walishamake wakasepa?
Hii serikali ya chama twawala ina mengi sana ya kuhojiwa!
 
Niko safarini pia, master city na happy nation ziko mbele musoma tuko na mwendo wa kawaida, kwa magari yaliyochoka ndo tunayapita green star iwe mbele yetu?
 
Wewe,halali yakimbie unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.
changes begin with you. Mpaka wewe usikie limeua watu ndo utachukua tahadhari/ndo utalalamikia ukiukwaji wa sheria za barabarani. Tafakari chukua hatua...
Hongera sana Eli, kwa kuwa na moyo wa utu pia umetimiza wajibu.
 
Wewe,halali yakimbie unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.

sijasema anakwenda speed nilichosema ni kwamba hana nidhamu njiani! Ajali nyingi ni kutokuheshimu wengine njiani. Unaweza kukimbia hata speed 150km/h kama barabara inaruhusu na uko Makini na wengine. Hua naendesha speed kwa mahali ambapo ni salama bit sio kama huyu jamaaa
 
Niko safarini pia, master city na happy nation ziko mbele musoma tuko na mwendo wa kawaida, kwa magari yaliyochoka ndo tunayapita green star iwe mbele yetu?
basi nisamehe mimi Mpwa. Nawaombea mfike salama but ukiwa kwenye gari kama ni abiria na hauko conversant na magari si rahisi kufahamu uzembe WA dereva Wako. ILA kama abiria mmeridhika who am I to object?
 
Siku maRTO Wataacha kupokea kitu kidogo kutoka kwa wenye mabasi, basi magari mabovu hutayaona barabarani, lakini kwa hizi bahasha za kila mwezi!
 
kwenye mabus huwa kuna namba za makamanda wa polisi wa kila mkoa? jaribu kupiga maana sie huku hatujui kilichotokea, pole sana vumilia - vipi Leina tours, na Ngorika hayajakupita bado? ninakutakia safari njema
LEINA BABA LAO!sijui yale ma bus yana injini gani
 
Acha wafe mkuu,kuna Mama aliwahi kumwomba dereva apunguze mwendo mwisho akashambuliwa na abiria wenzake,kama hana haraka arudishiwe nauli apande basi lingine kwani wao wana haraka
 
Acha wafe mkuu,kuna Mama aliwahi kumwomba dereva apunguze mwendo mwisho akashambuliwa na abiria wenzake,kama hana haraka arudishiwe nauli apande basi lingine kwani wao wana haraka

hahahaaaaa ajali ikitokea Ndio wanakuaga WA kwanza kulia
 
Musoma Express linatembea balaa,sema madereva wake wako makini na huwa wanapokezana
Mkuu musoma ni mbali sana jamaa hawezi kutembea speed kama anaenda iringa,kinachotakiwa ni umakini
na hapo hujakutana nae kipande cha kutoka dodoma kwenda singida,mashine inatembea mpaka unanyoosha mikono juu
 
Wewe,halali yakimbie unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.

Ingekuwa familia yako imo ndani ya basi hili... sidhani kama mawazo haya yangekuja kichwani mwako, wachilia mbali ulichokiandika.
 
Hongera kwa kuweka wazi,hilo gari uendeshaji wake ni hovyo,last week kidogo atusababishie ajali wakati
tunatoka Mwanza baada ya ku-overtake bila kuwa makini.
 
LEINA BABA LAO!sijui yale ma bus yana injini gani

Leina tours hizo gari wanaweka injini ya scania 124 L,gia 12 hapo hata uwe na prado hutii pua
sembuse michina ya yutong
 
Hiyo Musoma express wapende vijana sio wazee mie niliwahi kupanda kuwahi flight mwanza mama mmoja alilia machozi na akashiia mwanza jamaa anatambaa kweli !! Allys wamejirekebesha Ila Liena bado
 
Hongera kwa kuweka wazi,hilo gari uendeshaji wake ni hovyo,last week kidogo atusababishie ajali wakati
tunatoka Mwanza baada ya ku-overtake bila kuwa makini.

Asante kwa kuelewa concern yangu kuwa sio suala mwendo but poor driving
 
Musoma Express linatembea balaa,sema madereva wake wako makini na huwa wanapokezana
Mkuu musoma ni mbali sana jamaa hawezi kutembea speed kama anaenda iringa,kinachotakiwa ni umakini
na hapo hujakutana nae kipande cha kutoka dodoma kwenda singida,mashine inatembea mpaka unanyoosha mikono juu

Mpwa kabla ya kukomenti soma uelewe! Mimi sizungumziii speed nazungumzia uendeshaji usio WA busara which partly may include hio speed
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom