Hili Basi litaua

Juzi nlikua nataka kuja dar kutoka mwnza nkapanda bus la kichina zhong tong coz nlisikia yanatembea vizuri na kweli tulipotoka stand nyegezi gari ilikua inakimbia sana lakini nlishangaa sana kabla hatujafika shinyanga ilitupita happy nation yutong kama tumesimama abiria wote tulianza kulidiscuss lile gari tulipo simama kula sibgida tukawa tunapga story na konda akasema ile gari body ni yutong enginne scania hakuna gari inaweza fuata ile bus kwel cc tulifka ubungo saa tatu na tuliikuta imepaki kwenda kuiangalia nyuma imebandwa chata inayoonyesha engine ya scania af wenywe wameiandika kwa pembeni special order dah nlichoka
 
there you"re, inawezekana ikawa ndio bus linalokwenda speed kuliko hata niliyotaja, siki moja nilipanda bus la kampuni hii saa 6 mchana Arusha and by saa 2 kasoro tulikuwa tunaitafuta dar
Mkuu umesahau Happy nation za dar-mbeya na dar-mwanza usijaribu kabisa kupanda kama una presha
 
C kwel leina imewekwa engine ya scania f330 special chassin designed to be for bus with top speed over 130kph
 
C kwel leina imewekwa engine ya scania f330 special chassis designed to be for bus with top speed over 130kph
 
there you"re, inawezekana ikawa ndio bus linalokwenda speed kuliko hata niliyotaja, siki moja nilipanda bus la kampuni hii saa 6 mchana Arusha and by saa 2 kasoro tulikuwa tunaitafuta dar

Masaa8 kilometa 648-660 hivi sawa na wastan wa 90kph! Na kwa wastani huo hata funcargo anakula sahani moja na wewe.
 
Juzi nlikua nataka kuja dar kutoka mwnza nkapanda bus la kichina zhong tong coz nlisikia yanatembea vizuri na kweli tulipotoka stand nyegezi gari ilikua inakimbia sana lakini nlishangaa sana kabla hatujafika shinyanga ilitupita happy nation yutong kama tumesimama abiria wote tulianza kulidiscuss lile gari tulipo simama kula sibgida tukawa tunapga story na konda akasema ile gari body ni yutong enginne scania hakuna gari inaweza fuata ile bus kwel cc tulifka ubungo saa tatu na tuliikuta imepaki kwenda kuiangalia nyuma imebandwa chata inayoonyesha engine ya scania af wenywe wameiandika kwa pembeni special order dah nlichoka

Ha ha ha!
 
mmh kunasiku nilipanda Super feo ya Songea loh, majanga ile najiuliza maswali kichwani mzungu mmoja alikuwa amekaa siti ya tatu kutoka nyuma alimfuata dereva akamuomba apunguze mwendo atampatia pesa.
haa ni mbio kwelikweli
 
Hilo basi huwa watu wa Mara tunaliita boeng, nalisubiri hapa Bunda saa 7 usiku nipokee percel yangu.
 
Kuna nyingine inaitwa Ighembe Nsabo daaaaah sijui You thong, Zhingthong zote huwa zina tia adabu Mwanza-DAr
 
jamani hivi hao waliyo yatengeneza hayo mabasi hawakujua kuwa kuna siku yatakimbia hadi 180Km/hr? na je kama gari ina speed 320 km/hr mtu akitembelea speed 200 km/hr kuna tatizo?

Scania buses huwa na maximum speed ya 120km/hr na Yutong 125km/hr lakini huwa zinatambaa balaa mpaka nazishangaaga.
Nimepanda Abood juzi naenda Morogoro jamaa anakimbia kama tunaenda Harare,Zimbabwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom