Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 455
kuna baadhi ya viongozi wakishindwa hoja hukimbilia suala la "udini!" Refer JK and his co. United Arab Emirates wamepeleka ndege kadhaa Libya, lakini Gadaffi & co. hasemi chochote dhidi yao! Arab League wametoa go ahead kuhusu "No Fly Zone" lakini Gadaffi & Co hawawalalamikii! I hate madrassa!
Hatuko kwenye mtihani wa kiinglishi bana.Haa haa haa, waisilamu bwana! Kwa nini wasingeandika kiswahili tu?
Ninyi ndio mnaotaka kututoa kwenye mada za msingi za Taifa hili...............Udini,Gaddafi,Mufti agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr..................
Ama kweli waislam wa tanzania ni jamii iliyonyuma sana ktk elimu!jitihada za makusudi zahitajika kuinusuru jamii hii!misamaha ya kodi kwa madhehebu ya dini haiwanufaishi chochote kwani huenda hakuna taasisi ya kiislam iliyojenga shule wala hospitali kwa msamaha wa kodi!TAFAKARI

Ni wenzetu....tutafute jinsi ya kuwasaidia..............
Tukiwaambia waende shule wanakasirika angalia wanavyolitia taifa aibu jamani, hivi walikosa mtu wa kuwashauri kweli?
kuna baadhi ya viongozi wakishindwa hoja hukimbilia suala la "udini!" Refer JK and his co. United Arab Emirates wamepeleka ndege kadhaa Libya, lakini Gadaffi & co. hasemi chochote dhidi yao!
Arab League wametoa go ahead kuhusu "No Fly Zone" lakini Gadaffi & Co hawawalalamikii! I hate madrassa!
Lugha imepinda kama akili zao. Tukiwashauri waende shule wanakasirika. Matokeo yake ndiyo hayo!