Hili bango limenifanya niwaze sana, una maoni gani?

Unajuwa unanishangaza kunambia kuwa nyie ni mabingwa wa kulima lakini kila yangu siku kilio cha njaa na huku mnakosema hatulimi husikii kufa mtu na njaa.

Hivi usukumani wanakufa na njaa? sasa ndg yangu hv kilimo kwanza matrecta yote yameenda wapi?yako mjini mzee wangu, matajiri, chakula tunachopata kwa kulima na mkono sio chingi na tunategemea hicho hicho uuze upate hela ya matumizi....hatuna income ingine kama mafisadi na wenye dini yao ya kuabudu hela...
 
"Theft of Western Africa without European robbers is possible"

Tunaweza kuwaibia Afrika Magharibi bila kuhitaji msaada wa wezi sugu wa Ulaya.
 
GADAFI KUUWA WAISLAM WENZAKE SAWA, MAREKANI AKIZUIA NA BAHATI MBAYA AKAFA MWISLAMU KELELE KIBAO, ( Collateral damage)WAANDAMANE KWANZA KUMPINGA GADAFI. MBONA HAWAJANDAMANA KUPINGA WAISLAMU WENZAO WANAOUWAWA NA SERIKALI HUKO SYRIA,YEMEN,BAHRAIN, EGYPT NA TUNISIA.
 
Hii ni aibu kubwa? kwanza bango ni makosa matupu yameandkwa na utashangaa ni nani katika hao waliolibeba aliruhusu AIBU ya aina hii ya kuandika makosa ya lugha ya kiingereza kiasi hicho> SHAME SHAME!
 
haya bwana nyinyi makafir ndio mnajuwa kiingereza sisi wenye mfumo kiingereza si lugha yetu
 
GADAFI KUUWA WAISLAM WENZAKE SAWA, MAREKANI AKIZUIA NA BAHATI MBAYA AKAFA MWISLAMU KELELE KIBAO, ( Collateral damage)WAANDAMANE KWANZA KUMPINGA GADAFI. MBONA HAWAJANDAMANA KUPINGA WAISLAMU WENZAO WANAOUWAWA NA SERIKALI HUKO SYRIA,YEMEN,BAHRAIN, EGYPT NA TUNISIA.

Wanalindana hao?
 
Hii ni aibu kubwa? kwanza bango ni makosa matupu yameandkwa na utashangaa ni nani katika hao waliolibeba aliruhusu AIBU ya aina hii ya kuandika makosa ya lugha ya kiingereza kiasi hicho> SHAME SHAME!

Ukisema tuuuuu wewe Mdini
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom