Hili bango limenifanya niwaze sana, una maoni gani?

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
waislam-tz.jpg
 
kuna baadhi ya viongozi wakishindwa hoja hukimbilia suala la "udini!" Refer JK and his co. United Arab Emirates wamepeleka ndege kadhaa Libya, lakini Gadaffi & co. hasemi chochote dhidi yao!

Arab League wametoa go ahead kuhusu "No Fly Zone" lakini Gadaffi & Co hawawalalamikii! I hate madrassa!
 
punguza post za udini, kuna mambo mengi ya msingi ya kuongelea kwa maendeleo ya taifa letu zaidi ya kukalia udini udini udini! aghhhhrrrrrr
 
  • Thanks
Reactions: BCR
kuna baadhi ya viongozi wakishindwa hoja hukimbilia suala la "udini!" Refer JK and his co. United Arab Emirates wamepeleka ndege kadhaa Libya, lakini Gadaffi & co. hasemi chochote dhidi yao! Arab League wametoa go ahead kuhusu "No Fly Zone" lakini Gadaffi & Co hawawalalamikii! I hate madrassa!

Ninyi ndio mnaotaka kututoa kwenye mada za msingi za Taifa hili...............Udini,Gaddafi,Mufti agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr..................
 
Ama kweli waislam wa tanzania ni jamii iliyonyuma sana ktk elimu!jitihada za makusudi zahitajika kuinusuru jamii hii!misamaha ya kodi kwa madhehebu ya dini haiwanufaishi chochote kwani huenda hakuna taasisi ya kiislam iliyojenga shule wala hospitali kwa msamaha wa kodi!TAFAKARI
 
Haa haa haa, waisilamu bwana! Kwa nini wasingeandika kiswahili tu?
Hatuko kwenye mtihani wa kiinglishi bana.

Mradi ujumbe umewafikia wamarekani kwa lugha yao

Lakini kweli..hapo kuna kuchemsha tukubali yaishe.Siku nyingine inafaa kupitia maandishi kabla ya kujitoa kimasomaso.
 
Ninyi ndio mnaotaka kututoa kwenye mada za msingi za Taifa hili...............Udini,Gaddafi,Mufti agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr..................

alianza JK (chaguo la Mungu?) kudai kuwa eti kuna udini Tanzania baada ya kuporomoka kwa nguvu zaidi, ari zaidi na kasi zaidi wakati wa uchaguzi mkuu 2010, sisi wengine tunajibu tu hoja, right?
 
attachment.php

:lol: Naumia mbavu jamani, mwandaaji wa hili bango kapitia madrasat tu au ana ufahamu wa english structure? Hata kutumia microsoft word (tool bar) imemshinda ili kuratibu mjengo wa lugha ya wenyewe?

Hao Wamarekani wanavyodharau ukiharibu lugha yao, na hapa ndio kabisaa maana ni kipimo halisi cha ufahamu wa hao walioshika bango.
 
Ama kweli waislam wa tanzania ni jamii iliyonyuma sana ktk elimu!jitihada za makusudi zahitajika kuinusuru jamii hii!misamaha ya kodi kwa madhehebu ya dini haiwanufaishi chochote kwani huenda hakuna taasisi ya kiislam iliyojenga shule wala hospitali kwa msamaha wa kodi!TAFAKARI

sasa misamaha ya kodi na mashambulizi dhidi ya Dikteta Gadaffi wapi na wapi?
 
Tukiwaambia waende shule wanakasirika angalia wanavyolitia taifa aibu jamani, hivi walikosa mtu wa kuwashauri kweli?
 
Ama kweli waislam wa tanzania ni jamii iliyonyuma sana ktk elimu!jitihada za makusudi zahitajika kuinusuru jamii hii!misamaha ya kodi kwa madhehebu ya dini haiwanufaishi chochote kwani huenda hakuna taasisi ya kiislam iliyojenga shule wala hospitali kwa msamaha wa kodi!TAFAKARI

Ni wenzetu....tutafute jinsi ya kuwasaidia..............
 
Tukiwaambia waende shule wanakasirika angalia wanavyolitia taifa aibu jamani, hivi walikosa mtu wa kuwashauri kweli?

yaani we acha tu, yaani hawa watu ni mzigo, afu siku hizi wale kile kiredio chao, huwa kinaongea upepo tu
 
kuna baadhi ya viongozi wakishindwa hoja hukimbilia suala la "udini!" Refer JK and his co. United Arab Emirates wamepeleka ndege kadhaa Libya, lakini Gadaffi & co. hasemi chochote dhidi yao!

Arab League wametoa go ahead kuhusu "No Fly Zone" lakini Gadaffi & Co hawawalalamikii! I hate madrassa!

me i hate you with your low knowledge of understanding issues! This shows hw your thinking capacity is limited smwhere pliz try to open up urmind and see hw world is going on usiishie kukariri then ur concluding madrasa, me pia ni madrasa and am good enough compared with you! ZEZETA.
 
Lugha imepinda kama akili zao. Tukiwashauri waende shule wanakasirika. Matokeo yake ndiyo hayo!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom