Hiki wanachokifanya Clouds wewe umewaelewa?

Hiki wanachokifanya Clouds wewe umewaelewa?

Mimi jana naamka na Powerbreakfast mara nawasikia XXL,,nikasema ina maana leo nimeamka saa nane mchana!!!!..sema walikuwa wanakiendesha as if walishawahi kukifanya before..

Ni ubunifu mzuri..

Nilisikia tangazo la kubadili watangazi wa vipindi, nikasema nisikilize kina Kibonde wanafanyaje, wamejitahidi sana.

Nashukuru kipindi cha Sports hakijabadilika, maana ndo kipindi nasikiliza frequently.
 
Mimi jana naamka na Powerbreakfast mara nawasikia XXL,,nikasema ina maana leo nimeamka saa nane mchana!!!!..sema walikuwa wanakiendesha as if walishawahi kukifanya before..

Ni ubunifu mzuri..
Jamaa wako vizuri sana " katika masuala ya creativity " .....
 
Ulikuwa unasikiliza jahazi muda huo upo wapi ww kula kulala huyu hata kama mtumishi ni ambaye tarehe 10 pesa hakuna.
 
Ulikuwa unasikiliza jahazi muda huo upo wapi ww kula kulala huyu hata kama mtumishi ni ambaye tarehe 10 pesa hakuna.
Sasa jahazi mtu si unaweza kisikiliza hata wakati unarudi home kutokea job..na sio kila mtu kazi yake inamfanya asiweze kusikiliza redio..Wabongo bwana
 
Habar za leo wana JF baada ya salam nijielekeze kwwny mada ya msingi imekuwa kuanzia ck za hivi karibuni mwezi huu wa 12. 2018 hawa jamaa yaani CMG clouds media group wamefanya au wanafanya mpaka hii leo kuchanganya au kufanya vaice vesa au kubadilishana vipindi kwenye radio cjajua na kweny tv maana mie niko job mda mwingi sina mda wa kuangalia tv ila nmeshuhudia kweny radio kiukweli nmependa sana huu ubunifu maana unapata kuona vipaji vya watangazaji wao kweny vipindi ambavo sio vyao watangazaji hawajavizoea ila mambo yanaenda na hakuna tofauti yoyote nilioiona sjui ww..

Mfano mda huu ni saa 11 jioni kunakuwaga na kipindi cha jahazi na watangazaji wake wanafahamika ila utashangaa leo sio wale uliowazoea ww wapo wa amprifire labda na baadae kweny amprifire watakuwepo watangazaji wa kipindi cha jahazi yaani imwnoga sana ...,nashaur na radio zingine ziige ubunifu huuu aisee uko poa karibuni sana .
Kila mwaka huwa wana fanya ukiona hivyo either kuna vipindi vipya vinakuja au kuna mabadiliko ya watangazaji kwenye baadhi ya vipindi yanakuja.
 
Hongereni sana CMG, ubunifu wenu hauna mpinzani. Muda si mrefu mtawaona na redio zingine wanaiga halafu badae wanasemea CMG inanyanyasa watu wakati kila kitu wanacopy CMG.
 
Hata wengine watafuata,hawa jamaa kiukweli nawakubali sana,hiyo kweli radio ya watu
 
....Kasauti ka DIVA the BOSIiii nani anaendesha iyo pinddiiiiiii.... Mependa mbadiliko huu ila nkawaza mbaliiiii,
1. Kutathimini watangazaji wanoweza KABA nafasi zote (awekwe golini anaweza, acheze mbili anaweza, sita anaweza, saba anaweza, ata kumi na moja) hii ni muhimu kwa kuwa baadhi ya wafanyakazi wanaaondoka na wapya wajaa...ILA ipo THRED ya CLOUDS kulalamika mambo mabaya kiuchumi.....sitoshangaa Baadhi ya wafanyakazi wakapunguzwa/WAKAAMuuu pungua kwa hiariii

2. Watangazaji walishajenga MAZOWEAAA aaambayoo HUJENGA TABiiiiiaaaa, hiii itawafanya wawe makini na wasemayo na pia kujijengaaa
 
Umeweza redio au tv gani mkuu??
Azam two!!! Aiseee zaidi ya hapo ni eljaziira CNN BBC natiogeograph discover nk kweli nashndwa kabisa kuangalia tbc clouds Chanel ten yani najitahidi inadhindikana
 
Mimi jana naamka na Powerbreakfast mara nawasikia XXL,,nikasema ina maana leo nimeamka saa nane mchana!!!!..sema walikuwa wanakiendesha as if walishawahi kukifanya before..

Ni ubunifu mzuri..
ha ha ha ha ... Umenichekesha sana .. Yaani ukajua umeamka saa nane??
 
Ukiona hivyo ujue kuna panga la kupunguza wafanyakazi linanolewa hapo wanatafutwa wale viraka wakufiti vipindi vyote ndio watabaki.
 
Nakushauri ujifunze matumizi ya alama na mpangilio kwa haya unapoandika.

Hata kama umeishia darasa la saba, ni jambo unalotakiwa kuwa na uwezo nalo.
Sawa mwalimu wa kiswahili nitalifanyia kazi.
 
Habar za leo wana JF baada ya salam nijielekeze kwwny mada ya msingi imekuwa kuanzia ck za hivi karibuni mwezi huu wa 12. 2018 hawa jamaa yaani CMG clouds media group wamefanya au wanafanya mpaka hii leo kuchanganya au kufanya vaice vesa au kubadilishana vipindi kwenye radio cjajua na kweny tv maana mie niko job mda mwingi sina mda wa kuangalia tv ila nmeshuhudia kweny radio kiukweli nmependa sana huu ubunifu maana unapata kuona vipaji vya watangazaji wao kweny vipindi ambavo sio vyao watangazaji hawajavizoea ila mambo yanaenda na hakuna tofauti yoyote nilioiona sjui ww..

Mfano mda huu ni saa 11 jioni kunakuwaga na kipindi cha jahazi na watangazaji wake wanafahamika ila utashangaa leo sio wale uliowazoea ww wapo wa amprifire labda na baadae kweny amprifire watakuwepo watangazaji wa kipindi cha jahazi yaani imwnoga sana ...,nashaur na radio zingine ziige ubunifu huuu aisee uko poa karibuni sana .

Sishauri Redio zingine ziwaige kwani kwa jinsi walivyo na Watangazaji wabaya kuna uwezekano wakiiga tu basi ndiyo ikawa mwanzo na mwisho kwa hizo Redio zao Kusikilizwa. Tena wasithubutu kabisa!
 
radio clouds n wabunifu sna ,big up kw hilo.
 
Back
Top Bottom