Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,143
- 2,276
Habar za leo wana JF baada ya salam nijielekeze kwwny mada ya msingi imekuwa kuanzia ck za hivi karibuni mwezi huu wa 12. 2018 hawa jamaa yaani CMG clouds media group wamefanya au wanafanya mpaka hii leo kuchanganya au kufanya vaice vesa au kubadilishana vipindi kwenye radio cjajua na kweny tv maana mie niko job mda mwingi sina mda wa kuangalia tv ila nmeshuhudia kweny radio kiukweli nmependa sana huu ubunifu maana unapata kuona vipaji vya watangazaji wao kweny vipindi ambavo sio vyao watangazaji hawajavizoea ila mambo yanaenda na hakuna tofauti yoyote nilioiona sjui ww..
Mfano mda huu ni saa 11 jioni kunakuwaga na kipindi cha jahazi na watangazaji wake wanafahamika ila utashangaa leo sio wale uliowazoea ww wapo wa amprifire labda na baadae kweny amprifire watakuwepo watangazaji wa kipindi cha jahazi yaani imwnoga sana ...,nashaur na radio zingine ziige ubunifu huuu aisee uko poa karibuni sana .