Tronics guru JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 10,372 Reaction score 7,981 Dec 24, 2018 #41 Akina mussa Hussein j5 walikuwa ala za roho hahaha clouds wabunifu sana
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 10,763 Reaction score 19,657 Dec 24, 2018 #42 Clouds ni sawa na kipara yaan staili nyingi zitakuja na kubamba ila kipara watakiacha miaka yote. Hata wanyoa viduku kwapa na vuzi hupiga kipara tu.
Clouds ni sawa na kipara yaan staili nyingi zitakuja na kubamba ila kipara watakiacha miaka yote. Hata wanyoa viduku kwapa na vuzi hupiga kipara tu.