Hivi huwa kuna visigino vingine zaidi ya vile vya miguu!visigino vya miguu
Masab.uri mchomoko hayo!
Kila kitu ni kingine kwa kingine. Hata wewe unachowaza ni kingine kwa hiki niwazacho mimi, and vaisi vesa... Hivyo kwa statement yako hakuna wa kupona kuwa na mawazo mepesiWenye mawazo mepesi mepesi wataanza kuona taswira ya kitu kingine kabisa.
Kuna visigino vya kitu kingine?visigino vya miguu
usipoangalia kwa makini utaona ashakum maneno si matusi,ka masaburi vile
Wenye mawazo mepesi mepesi wataanza kuona taswira ya kitu kingine kabisa.
Masab.uri mchomoko hayo!