Hiki ni kipawa

Kwenye ulimwengu wa roho si kila binadamu ni binadamu na si kila mnyama ni mnyama anayeonekana kwa macho... Kuna viumbe wa kila aina wanaovaa maumbo mbalimbali kulingana na mahitaji yao ama ya wanaowamiliki
 
Kwa kweli inasikitisha, dunia hii?
 
Ndio maana unaambiwa wanyama wote ni ndugu, uadui sijui ulianzaje …
Kuna wimbo unasema..... Na wanyama wataangamia kwa dhambi zako eeh mwanadamu... Way back 1985 .....
 
Nilitaka kusema hivyo, sema sikuwa na uhakika, daaah we jamaa kweli longi sana
umri ushasonga ndugu yangu.... Lakini ni kuanzia usoni tu mpaka kitovuni baasi.... Huku kwenda chini ni new brand kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…