Hardwaycomes
JF-Expert Member
- Dec 26, 2018
- 370
- 494
Kuna mmoja Ni single mother,nilimpenda Sana kwa kuwa alikuwa very smart kwa maeneo fulani fulani,Ila aliponambia "no sex until marriage" nikaaga mashindano...
Niliona ana uwezo mdogo sana wa kudhibifi hisia zake,coz siku tumeonana tulikulanaaa then akaanza niambia hizo habari nikamkaushia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona ana uwezo mdogo sana wa kudhibifi hisia zake,coz siku tumeonana tulikulanaaa then akaanza niambia hizo habari nikamkaushia...
Sent using Jamii Forums mobile app