Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,203
Hapana mpendwa
Hapana mpendwa
Naona umeguswa haswa, Mimi siwezi kuoa mwanamke ambaye hajawahi hata kunipikia au kunifulia nguo, au nikiona unapenda sana kubandika makucha najua wewe ni wa kupiga mzigo tu Ndoa huiwezi
Kama huna sifa za kuolewa mwanaume atakuwa anakuona tu humu akisogeza timeJisemee wewe nafsi yako,, ila kuna wanaume wenzio wengi tu wamepata wanawake wanaowafanyia yote hayo ila hawajawaoa na wala hawana mpango wa kuwaoa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanamaliza viwembe tu kujinyoa mav....zi nyumbani wkt hayo walitakiwa wakafanyie kwa waume zaoTena midada ya over 30yrs ni majeuri hatari usilogwe kuanzisha mahusiano na mwanamke wa aina hiyo.
Hujiona kuwa anajua kila kitu.
GOD is GOOD
Kama huna sifa za kuolewa mwanaume atakuwa anakuona tu humu akisogeza time
Mayo numbisa huyu kwa kule tunamuitaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi unajiona umemaliza kila kitu.
#Shuainizako.
AiseeWatu tumevulugwa na NIDA huyu anakuja na mada yake ya vichekesho.
AiseeUkute mtoa mada yuko kwa shemeji hata dalili ya uchumba hana.
Aisee
😀😀😀
Unaonekana ni husband material kabisaMambo yamebadilika sana
Leo hi mwanamke anaenda kwa boyfriend wake anafua,anapika,anaosha vyombo yaani Kama mke wake...hapo hata kwawazaz hamjaenda!!! Ukiyoka anaingia mwenzio analala anasepa
Dadazangu mwanaume anaetaka kukuowa atakuowa tu kama anakupenda....TABIA za kawaida tu zitamfanya ajui Kama wew Ni mke wake
kelphin kepph
Niko apa Sina Mambo mengi kijana[emoji41]