Hiki ndo kinachosababisha usiolewe mpaka leo

Hiki ndo kinachosababisha usiolewe mpaka leo

Asante
Mambo yamebadilika sana
Leo hi mwanamke anaenda kwa boyfriend wake anafua,anapika,anaosha vyombo yaani Kama mke wake...hapo hata kwawazaz hamjaenda!!! Ukiyoka anaingia mwenzio analala anasepa
Dadazangu mwanaume anaetaka kukuowa atakuowa tu kama anakupenda....TABIA za kawaida tu zitamfanya ajui Kama wew Ni mke wake

kelphin kepph
 
Mada nyingine huwa zinasaidia kuuona upande wa pili wa wana JF hata kama wanatumia majina bandia humu JF.
 
Hajui kuwa maisha hayana fomula! Kuna wengine wanakazana na kitabu anataka akija kuolewa awe na PhD hapo atafika 30. Maana ni nadra sana mwanamke akishaolewa kujiendeleza kielimu. After all umri sahihi wa mwanamke anayejitambua kuolewa na ndoa ikadumu ni kuanzia 30 na kuendelea
Jidanganye........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajui kuwa maisha hayana fomula! Kuna wengine wanakazana na kitabu anataka akija kuolewa awe na PhD hapo atafika 30. Maana ni nadra sana mwanamke akishaolewa kujiendeleza kielimu. After all umri sahihi wa mwanamke anayejitambua kuolewa na ndoa ikadumu ni kuanzia 30 na kuendelea
Kawaulize dada zako ambao wamekuja kuitafuta ndoa na miaka 30....huyo mwanaume wa kuja kukuoa umri huo yeye atakuwa na umri wa miaka mingapi, labda uoe hawa madogo wanaotafuta maisha.... Ila sio mtu mzima ambaye tayari ana maisha yake....

Maana mwanaume aliyekuzidi tayari anakuwa na watoto so jiandae kupambana na Baby mama wake, na pia kulea watoto si wako...... Plus ghubu la ukweni kama wanamkubali wifi yao wa awali....

Mara nyingi mwanaume wa rika hilo anakuwa tayari off the Market kwa vigezo vya ndoa ila kwa ufuska mwanaume yupo sokoni hadi 60+ huko......

So endelea kujidanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi siji kufanya huu upuuzi eti kufua,kufanya usafi..
Nilikua na tabia ya kufanya usafi kila nikimtembelea
Siku hiyo nikajifanya kufanya usafi Wa nguvu hadi uvunguni hukoo

Niliyoyaona huko uvunguni
Yalinifanya nikate mguu
Na nikampotezea mazima.
Sasa hivi hata kitanda sikutandikii
Wacha niendelee kuzeeka kama sifa za kuolewa ni hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umengoa kwa kutumia hasira..... Ongea kwa kutumia hekima sasa tukusikie.......

Hayo majukumu ukifanya ni sehemu ya na jukumu ambayo utaendelea kufanya maisha yote so ni kama utambulisho wako kwa mwanaume kwasababu kumfanyia kazi haikupunguzii lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
Sina wasiwasi kabisa,Mungu anazidi niimarisha kiroho na kimwili..

kijana mwenye Nia ya ndoa atakuja nyumbani kunioa,

Kulikoni kwenda kuwa mke kwa boyfriend Ni akheri nizekee kwetu.
Siwezi kuolewa kabla ya kuolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushapigwa ukuni mileage inasoma laki halafu unaleta masharti. Nyie watoto wa kike wa miaka hii ni a disgrace kwa familia zenu sababu ya kuendekeza dharau na ujuaji.....

Unajua wanaume hawaoni thamani zenu sababu mnagawa sana kama biscuit kisha mnakuja kulia lia kuwa wanaume wanawachezea wakati ni nyie mnakiuka miiko ya kike....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushapigwa ukuni mileage inasoma laki halafu unaleta masharti. Nyie watoto wa kike wa miaka hii ni a disgrace kwa familia zenu sababu ya kuendekeza dharau na ujuaji.....

Unajua wanaume hawaoni thamani zenu sababu mnagawa sana kama biscuit kisha mnakuja kulia lia kuwa wanaume wanawachezea wakati ni nyie mnakiuka miiko ya kike....

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika na unachoongea au umeamua kujiropokea tu?
Wewe unanijua Mimi?

Kama mdogo wako wa kike Ni disgrace kwa familia yenu Basi usinijumlishie na mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu, ukweli mtupu.

Wangu alikua analala tu hapo mwanaume naamka najiandaa kwenda kazini, napiga pasi, amelala tu hapo. Hata kusema nikusaidie maninaaa!

Anachojua ni kuomba pesa za saloon kila after 2 weeks. Nakuomba anunuliwe hchi mara kile. Slogan zake ni hzo hzo cjui boyfriend hafuliwi, blah blah blah. Shida ni mnademand matunzo ya mke hlf mnatoa matunzo ya kimada.

Halafu ananiulza mambo ya ndoa.

Kiufupi ni Nimeshaachana nae!

Nb:
Wakina dada. Tilieni maanani sana anayosema mleta mada. Msiwasikilize hawa wa dada wa humu waliotokwa povu. Maana mwisho wa siku utaolewa na mwanaume sio mwanamke mwenzio.

Povu ruksa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom