Hiki ndo kinachosababisha usiolewe mpaka leo

Hiki ndo kinachosababisha usiolewe mpaka leo

Shauri yako

Hata hvyo hiyo ilikuwa bahati mbaya usijumlishe wote
Binafsi siji kufanya huu upuuzi eti kufua,kufanya usafi..
Nilikua na tabia ya kufanya usafi kila nikimtembelea
Siku hiyo nikajifanya kufanya usafi Wa nguvu hadi uvunguni hukoo

Niliyoyaona huko uvunguni
Yalinifanya nikate mguu
Na nikampotezea mazima.
Sasa hivi hata kitanda sikutandikii
Wacha niendelee kuzeeka kama sifa za kuolewa ni hizo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wadada endeleeni kukaza vichwa tu sisi tushaamua lazima tukupime kwa mapishi yako,usafi nakadhalika tujue je huyu kweli ni wife material kweli ukikataa kuyafanya hayo hicho ni kiburi hauna utii kabisa halafu hizo kazi nizakwenu unataka afanye nani ? [emoji3]inamaana hata kuangalia nyumba kutakushinda hivyo basi ukigoma tafuta wa kukuoa tunasema hivi tafuteni wa kuwaoa ..mtajioa wenyewe

Hapa mi nawawakilisha hawa vijana waoaji

Na nyie mtaolewa wenyewe..kwendeni zenu[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom