Hiki ndo kinachosababisha usiolewe mpaka leo

Duuh kumbe mnajijua kwa makundi ila sometimes hamuolewek ndo maana tunaangukia kwa ma slay vampires mnajua kuigiza

Hapa bar naliona bonge la Dada jeupee namba nane lina bonge moja la chura ni barmaid limenihudumia kinywaji kwa ukarimu si linafaa kuwa wife material ?au ninywe niondoke zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa ww si mtoto
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi unajiona umemaliza kila kitu.

#Shuainizako.
Hajui kuwa maisha hayana fomula! Kuna wengine wanakazana na kitabu anataka akija kuolewa awe na PhD hapo atafika 30. Maana ni nadra sana mwanamke akishaolewa kujiendeleza kielimu. After all umri sahihi wa mwanamke anayejitambua kuolewa na ndoa ikadumu ni kuanzia 30 na kuendelea
 
Mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikilia kwann kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za wasichana wenzio wakiolewa? Au wao wanaolewa namajini eti? [emoji23][emoji23][emoji23] hii dhana kujiona watoto wa mjini, wanawake wa kisasa sijui, basi ndo mnakuwa kama makuku ya kisasa kweli hamfai kwa kufugwa shida tupu!! Maana makuku ya kisasa ukitaka kuyafuga basi ujipange kweli kweli kuanzia mtaji wa kipesa hadi muda wa kuyahudumia!! Ndo nyie sasa, yaani kiukweli wanawake wa sikuhizi hata radha mmeisha kabisa [emoji23] We unataka mwanaume akuoe wakati hujawahi kujiongeza hata kusema umfulie, kazi kumsifia kapendeza hujui hata anafuliwa na nani? Hujawahi hata kumpikia kazi kumsifia ananenepa hujui hata anakula wapi, halafu unataka ndoa? kila siku ukienda gheto kwake we kazi kuulizia series za kikorea kama kaleta mpya, huulizi hata Leo unanunua mboga gani nije kukupikia, mwanamke mzima bila haya unaenda kwa bwana wako unafika unalia njaa halafu unamuagiza kabisa akakununulie chips kuku! Halafu unataka atoe posa kwenu?? Kazi mnayoijua ni kuomba omba hela tu utazani watoza ushuru wa manispaa? Mkifulia Ndo mnajifanya kusema "Bby nimekumiss nataka nije leo" pumbavu kumbe pesa Ndo inayokupeleka, mkishafumuliwa fasta mnaomba nauli na hela ya kula hata kukumbuka kutoa shuka utandike nyingine huna mda huo, tunawajua Sana ila tunawatazama tu mnajiona wajaanja kumbe mnajishusha wenyewe, haya mambo mnayaona ya kipuuzi lakini ndo uchawi kwa mwanaume ajue thamani yako, asifikirie kukupoteza hata siku moja, sasa nyie endeleeni tu kufuata hela, mnaenda kwa wanaume mmejikoki sadolin za rangi mdomoni, machoni mpaka mtu anashindwa kukukiss! Umefuga makucha utazani visu vya kukeketea?? [emoji3][emoji3] sijui hata mnasafishaje maumbile yenu, unakuta unang'aa usoni utazani duka la wahindi lakini ndani unatoa uvundo [emoji23][emoji23][emoji23] aisee mtalalamika Sana nawaambia, wanaume Ndo sisi mnaotuletea nyodo Ndo tunapaswa kuwaoa, tutawanyoosha mpaka mjute kuzaliwa! Pendeni hela tuwazeeshe!!....... [emoji35][emoji35][emoji35] Ukiwa maskin unaonekana kama huna akili timamu kumbe kilichokosekana apo sio akili ni pesa![emoji23][emoji23] Leo nimeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka masharti lukuki tena magumu Kinoma

Mara nataka Mwanaume Handsome, Mcha Mungu, mwenye elimu ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.

Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je wewe ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumbani?

Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumbani na huna mume wala mchumba inabidi ujiulize mara mbili ulikosea nini huko nyuma Kwasababu Kupata Mume umri huo kwa sasa ni Bahati , Wengine Kabisa wanakataa wachumba wakiwa kwenye early 20's Wakijua watastay young Forever...

Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake eti nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu wewe umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?

Mimi nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.

KWAHERINI.MESSAGE SENT

GOD is GOOD
Si Mchezo.
 
Hakuna wakunifanyia usafi nafanya mwenyewe nilishaoa pombe hapo nilikuwa nazungumzia na kutetea maslahi ya jinsia yangu ambayo bila kuonyesha huo u wife material hakuna ndoa at least wafanye kitu cha kutu convince

Kuachwa ni matokeo tu na factor ni nyingi tu .mtumishi waache wenzio wafanye usafi bana wawapikie unaweza kuta jamaa anavutiwa na mapishi ya bibie anafupisha uchumba anaoa fasta .

Mengine ni matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawataki kuambiwa ukweli hawa zaidi wanaona kuwa nawaponda ila mimi sijafunzwa unafiki ukweli nausema bila woga wala kificho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]wakupe ya soda sio mchezo umewambia ukweli mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app

GOD is GOOD
 
Wenye akili wamenielewa na pongezi zinamiminika PM. Ila wenye vichwa vigumu acha waendelee kuongeza namba za umri huku wakiwa wameambulia kuitwa single mum tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]wakupe ya soda sio mchezo umewambia ukweli mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app

GOD is GOOD
 
Binafsi siji kufanya huu upuuzi eti kufua,kufanya usafi..
Nilikua na tabia ya kufanya usafi kila nikimtembelea
Siku hiyo nikajifanya kufanya usafi Wa nguvu hadi uvunguni hukoo

Niliyoyaona huko uvunguni
Yalinifanya nikate mguu
Na nikampotezea mazima.
Sasa hivi hata kitanda sikutandikii
Wacha niendelee kuzeeka kama sifa za kuolewa ni hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikilia kwann kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za wasichana wenzio wakiolewa? Au wao wanaolewa namajini eti? [emoji23][emoji23][emoji23] hii dhana kujiona watoto wa mjini, wanawake wa kisasa sijui, basi ndo mnakuwa kama makuku ya kisasa kweli hamfai kwa kufugwa shida tupu!! Maana makuku ya kisasa ukitaka kuyafuga basi ujipange kweli kweli kuanzia mtaji wa kipesa hadi muda wa kuyahudumia!! Ndo nyie sasa, yaani kiukweli wanawake wa sikuhizi hata radha mmeisha kabisa [emoji23] We unataka mwanaume akuoe wakati hujawahi kujiongeza hata kusema umfulie, kazi kumsifia kapendeza hujui hata anafuliwa na nani? Hujawahi hata kumpikia kazi kumsifia ananenepa hujui hata anakula wapi, halafu unataka ndoa? kila siku ukienda gheto kwake we kazi kuulizia series za kikorea kama kaleta mpya, huulizi hata Leo unanunua mboga gani nije kukupikia, mwanamke mzima bila haya unaenda kwa bwana wako unafika unalia njaa halafu unamuagiza kabisa akakununulie chips kuku! Halafu unataka atoe posa kwenu?? Kazi mnayoijua ni kuomba omba hela tu utazani watoza ushuru wa manispaa? Mkifulia Ndo mnajifanya kusema "Bby nimekumiss nataka nije leo" pumbavu kumbe pesa Ndo inayokupeleka, mkishafumuliwa fasta mnaomba nauli na hela ya kula hata kukumbuka kutoa shuka utandike nyingine huna mda huo, tunawajua Sana ila tunawatazama tu mnajiona wajaanja kumbe mnajishusha wenyewe, haya mambo mnayaona ya kipuuzi lakini ndo uchawi kwa mwanaume ajue thamani yako, asifikirie kukupoteza hata siku moja, sasa nyie endeleeni tu kufuata hela, mnaenda kwa wanaume mmejikoki sadolin za rangi mdomoni, machoni mpaka mtu anashindwa kukukiss! Umefuga makucha utazani visu vya kukeketea?? [emoji3][emoji3] sijui hata mnasafishaje maumbile yenu, unakuta unang'aa usoni utazani duka la wahindi lakini ndani unatoa uvundo [emoji23][emoji23][emoji23] aisee mtalalamika Sana nawaambia, wanaume Ndo sisi mnaotuletea nyodo Ndo tunapaswa kuwaoa, tutawanyoosha mpaka mjute kuzaliwa! Pendeni hela tuwazeeshe!!....... [emoji35][emoji35][emoji35] Ukiwa maskin unaonekana kama huna akili timamu kumbe kilichokosekana apo sio akili ni pesa![emoji23][emoji23] Leo nimeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka masharti lukuki tena magumu Kinoma

Mara nataka Mwanaume Handsome, Mcha Mungu, mwenye elimu ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.

Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je wewe ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumbani?

Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumbani na huna mume wala mchumba inabidi ujiulize mara mbili ulikosea nini huko nyuma Kwasababu Kupata Mume umri huo kwa sasa ni Bahati , Wengine Kabisa wanakataa wachumba wakiwa kwenye early 20's Wakijua watastay young Forever...

Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake eti nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu wewe umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?

Mimi nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.

KWAHERINI.MESSAGE SENT

GOD is GOOD
Umefuga makucha utadhani visu vya kukeketea aiseeee.
 
MASTAA WALIONUNULIWA KWA PESA NYINGI NA MAKOCHA HAO
Mkuu we ulizalia nyumbani kwani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jose Mourinho - Pogba (Pauni 89.3milioni)

2.Carlo Ancelotti - Bale (Pauni 85.3milioni)

3.Pep Guardiola - Zlatan (Pauni 57milioni)

4.Manuel Pellegrini - C.Ronaldo (Pauni 80milioni)

5.Massimiliano Allegri - C.Ronaldo (Pauni 99.2milioni)

6 Arsene Wenger - Aubameyang (Pauni 56milioni)

7.Roberto Mancini - Aguero (Pauni 35milioni)

8.Claudio Ranieri - Rodriguez (Pauni 38.5milioni)

9.Rafa Benitez - Higuain (Pauni 34.5milioni)

10.Unai Emery - Neymar (Pauni 200milion
 
safi sana......hakika unajielewa....
[emoji120][emoji120][emoji120]
Sina wasiwasi kabisa,Mungu anazidi niimarisha kiroho na kimwili..

kijana mwenye Nia ya ndoa atakuja nyumbani kunioa,

Kulikoni kwenda kuwa mke kwa boyfriend Ni akheri nizekee kwetu.
Siwezi kuolewa kabla ya kuolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom