Hiki ndo kinachosababisha usiolewe mpaka leo

Lazima uje ghetto
-upike
-ufue
-ufanye usafi
-na mengineyo

Unajua kupitia hayo tunawafanyia assessment kwa hyo hapo tunayatambua mengi sana hapo kuhusu nyinyi tabia,mapungufu yenu, mfano hili jamaa chafu au safi je linavumilika na kila kitu isitoshe mnapata mda mwingi wa kusomana ili mjue kabisa mnaendana kuepuka Yale ya stamina sasa we hufanyi hayo mnakutana njiani na outing hapo trust me sijui lakini kama mnapata muda wa kusomana kipasavyo

Sasa tushasema msipokuja ghetto hatuoi tafuteni wa kuwaoa na wadau wanajua hilo [emoji3]kwa hiyo wakipita kusoma hapa nilipoandika ni kama marudio

Huji ghetto mi ntajuaje kama unajua kupika ,kutunza nyumba au kuni care ntajuaje kama yaliyomo yamo ?sasa nyinyi msije waacheni wanaoenda hao tutawaoa [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Waache wajinga waje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabsa binafsi mimi usipokuja ghetto zaidi ya wiki mbili bila sababu ya msingi mapenzi yanaishia hapo.
Lazima nipime yote haya aliyozungumza ndugu yangu mlevi Mmoja
Lazima uje ghetto
-upike
-ufue
-ufanye usafi
-na mengineyo

Unajua kupitia hayo tunawafanyia assessment kwa hyo hapo tunayatambua mengi sana hapo kuhusu nyinyi tabia,mapungufu yenu, mfano hili jamaa chafu au safi je linavumilika na kila kitu isitoshe mnapata mda mwingi wa kusomana ili mjue kabisa mnaendana kuepuka Yale ya stamina sasa we hufanyi hayo mnakutana njiani na outing hapo trust me sijui lakini kama mnapata muda wa kusomana kipasavyo

Sasa tushasema msipokuja ghetto hatuoi tafuteni wa kuwaoa na wadau wanajua hilo [emoji3]kwa hiyo wakipita kusoma hapa nilipoandika ni kama marudio

Huji ghetto mi ntajuaje kama unajua kupika ,kutunza nyumba au kuni care ntajuaje kama yaliyomo yamo ?sasa nyinyi msije waacheni wanaoenda hao tutawaoa [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

GOD is GOOD
 
Unakuta jidada lipo humu limekomaa over 30yrs limamponda mtoa mada, mingi ni mijeuri ina mdomo haipendi kazi na kujituma kazi kuangalia series tu.

Mtaishia kupost misura yenu face book, Instagram, na Tweeter na watu Ku like lkn kuolewa hamuolewi,

Embu badilikeni bhana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wasipoolewa na wakipost picha IG Wewe unaumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena midada ya over 30yrs ni majeuri hatari usilogwe kuanzisha mahusiano na mwanamke wa aina hiyo.
Hujiona kuwa anajua kila kitu.
Unakuta jidada lipo humu limekomaa over 30yrs limamponda mtoa mada, mingi ni mijeuri ina mdomo haipendi kazi na kujituma kazi kuangalia series tu.

Mtaishia kupost misura yenu face book, Instagram, na Tweeter na watu Ku like lkn kuolewa hamuolewi,

Embu badilikeni bhana.

Sent using Jamii Forums mobile app

GOD is GOOD
 
Mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikilia kwann kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za wasichana wenzio wakiolewa? Au wao wanaolewa na majini eti? [emoji23][emoji23][emoji23]

Hii dhana kujiona watoto wa mjini, wanawake wa kisasa sijui, basi ndo mnakuwa kama makuku ya kisasa kweli hamfai kwa kufugwa shida tupu!! Maana makuku ya kisasa ukitaka kuyafuga basi ujipange kweli kweli kuanzia mtaji wa kipesa hadi muda wa kuyahudumia!!

Ndo nyie sasa, yaani kiukweli wanawake wa sikuhizi hata radha mmeisha kabisa [emoji23] We unataka mwanaume akuoe wakati hujawahi kujiongeza hata kusema umfulie, kazi kumsifia kapendeza hujui hata anafuliwa na nani?

Hujawahi hata kumpikia kazi kumsifia ananenepa hujui hata anakula wapi, halafu unataka ndoa? kila siku ukienda gheto kwake we kazi kuulizia series za kikorea kama kaleta mpya, huulizi hata Leo unanunua mboga gani nije kukupikia, mwanamke mzima bila haya unaenda kwa bwana wako unafika unalia njaa halafu unamuagiza kabisa akakununulie chips kuku! Halafu unataka atoe posa kwenu?? Kazi mnayoijua ni kuomba omba hela tu utazani watoza ushuru wa manispaa?

Mkifulia Ndo mnajifanya kusema "Bby nimekumiss nataka nije leo" pumbavu kumbe pesa Ndo inayokupeleka, mkishafumuliwa fasta mnaomba nauli na hela ya kula hata kukumbuka kutoa shuka utandike nyingine huna mda huo, tunawajua Sana ila tunawatazama tu mnajiona wajaanja kumbe mnajishusha wenyewe, haya mambo mnayaona ya kipuuzi lakini ndo uchawi kwa mwanaume ajue thamani yako, asifikirie kukupoteza hata siku moja, sasa nyie endeleeni tu kufuata hela, mnaenda kwa wanaume mmejikoki sadolin za rangi mdomoni, machoni mpaka mtu anashindwa kukukiss!

Umefuga makucha utazani visu vya kukeketea?? [emoji3][emoji3] sijui hata mnasafishaje maumbile yenu, unakuta unang'aa usoni utazani duka la wahindi lakini ndani unatoa uvundo [emoji23][emoji23][emoji23] aisee mtalalamika Sana nawaambia, wanaume Ndo sisi mnaotuletea nyodo Ndo tunapaswa kuwaoa, tutawanyoosha mpaka mjute kuzaliwa! Pendeni hela tuwazeeshe!!....... [emoji35][emoji35][emoji35]

Ukiwa maskin unaonekana kama huna akili timamu kumbe kilichokosekana apo sio akili ni pesa![emoji23][emoji23] Leo nimeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka masharti lukuki tena magumu Kinoma

Mara nataka Mwanaume Handsome, Mcha Mungu, mwenye elimu ya degree, awe ameajiliwa au ana biashara. Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je wewe ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumbani?

Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumbani na huna mume wala mchumba inabidi ujiulize mara mbili ulikosea nini huko nyuma Kwasababu Kupata Mume umri huo kwa sasa ni Bahati , Wengine Kabisa wanakataa wachumba wakiwa kwenye early 20's Wakijua watastay young Forever...

Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake eti nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu wewe umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?

Mimi nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.

KWAHERINI.MESSAGE SENT

GOD is GOOD
Nakazia Mkuu[emoji374] [emoji375] [emoji373]

Umeandika mambo mazuri sana umetoa darsa la swafi, hasa hapo kwenye mapishi na kufua na usafi wa nyumba pia katika ucha Mungu hahaaaa! Jamaa umepiga msumali utosini
 
Hajui kuwa maisha hayana fomula! Kuna wengine wanakazana na kitabu anataka akija kuolewa awe na PhD hapo atafika 30. Maana ni nadra sana mwanamke akishaolewa kujiendeleza kielimu. After all umri sahihi wa mwanamke anayejitambua kuolewa na ndoa ikadumu ni kuanzia 30 na kuendelea
30s ni umri wa kusomesha watoto na ushaacha kuzalishwa, Kuoa mwanamke wa umri huo napo ni shida tu kwanza ameshatumikia migegedo kibao, anaolewa ili aonekane na yeye anandoa.
 
Unalazimisha ndoa iwe na kanuni,, nikuulize wewe mtoa mada ni wanawake wangapi wanafanya hayo yote na bado hawaolewi na ni wanawake wangapi hawafanyi hayo yote ila wanaolewa??

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeguswa haswa, Mimi siwezi kuoa mwanamke ambaye hajawahi hata kunipikia au kunifulia nguo, au nikiona unapenda sana kubandika makucha najua wewe ni wa kupiga mzigo tu Ndoa huiwezi
 
Nakazia hapo hapo 30yrs ni umri wa kusomesha tena primary kabsa.

Back
Top Bottom