Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,111
Binafsi siji kufanya huu upuuzi eti kufua,kufanya usafi..
Nilikua na tabia ya kufanya usafi kila nikimtembelea
Siku hiyo nikajifanya kufanya usafi Wa nguvu hadi uvunguni hukoo
Niliyoyaona huko uvunguni
Yalinifanya nikate mguu
Na nikampotezea mazima.
Sasa hivi hata kitanda sikutandikii
Wacha niendelee kuzeeka kama sifa za kuolewa ni hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, ulikuta vipisi vya condom nini ?
Sent using Jamii Forums mobile app