Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,572
- 235,412
Yeah, mwanaume anayetaka yote hayo Basi aoe.Kweli, mwanaume anataka yote hayo aoe.
Roho mbaya tu hizo inamaana huwez kumsaidia jamaa ata siku moja kupiga dekiYeah, mwanaume anayetaka yote hayo Basi aoe.
Unakuta binti anakubali kutumika tu,anaolewa kabla hajaolewa,anakuwa mke kwa mtu ambaye si mume wake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazungumzia waliojimilikisha hayo majukumu.Roho mbaya tu hizo inamaana huwez kumsaidia jamaa ata siku moja kupiga deki
Unajua wadada kwenye ili swala la mahusiano mnakuwa kama walimu wa field na vijana waoaji wanakuwa kama wakaguzi wenu wana wa asses performance yenu je anafaa kuwa mwalimu ndo hvo hvo kwenye suala la uoaji kwa mambo madomadogo kama hayo mnapimwa sasa we jikute hufanyi kitu hata kupika humsaidii ndo uone
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgonge mashine kwa heshima yangu mkuu!
Kama kutakuwa ni vinjwaji vyangu pendwa unialike hiyo sikuNazungumzia waliojimilikisha hayo majukumu.
Hivi kwanza hicho kitabu chenyewe Cha "usiolewe kabla hajaolewa"unakijua???
Nione Nini sasa,I will never be a wife to a boyfriend and I'm sure a hundred percent nitaolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kazi yako kumsapoti mambo makubwa.. kufanya hayo Ni kujipendekeza na huruma zako tu,Watajilaumu sana sasa girlfriend hata kuja kupika nyumban hataki kunifanyia usafi hataki bado una msupport kwa mambo madogomadogo au makubwa yani una play role yako ye ha play ya kwake huyo wa nini ndo unakuta wengine wanaamua kununua ile midoli ya China kama mkuu @ chizimaarifa kukizi haja zao no stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuja kunywa soda.
Siyo kazi yako kumsapoti mambo makubwa.. kufanya hayo Ni kujipendekeza na huruma zako tu,
Kama unafanya fanya kwa huruma zako tu.
Jukumu la kumtunza Ni la wazazi wake.
Kwa mwanamke vivyohivyo ,kukesha kumfulia kumpikia na kufanya kazi zote kwa mwanaume yaani dada kahamia huko,SI jukumu lake,.
Kama dada atafanya Basi Ni kiherehere chake tu na huruma zake.
Hilo jukumu Ni la mke wake wa ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda kwenye Harusi ya sodaUtakuja kunywa soda.
Kama huwezi ,unasubiria nikuletee bia Basi utapambana na Hali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yupo anayekufanyia usafi?Sio vizuri hivyo unajua hawa wadada wa humu wanasoma ulichoandika hapa unataka watubadilikie ghafla wakatae kutufanyia usafi tuanze sasa kuwa wachafu na tushazoea wenyewe
Ila ulichoandika kina ukweli ila nyie wadada huo ni msimamo wake wakwetu sisi hatuoi bila kuuona huo u wife material sasa mtachagua wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawa..Kwenda kwenye Harusi ya soda
Bora niende Iran au nikafanye kazi bure kabisa bila malipo kama kibarua kwenye migodi au kupasau mawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yupo anayekufanyia usafi?
Na anasubiri malipo ya ndoa???
Wanaojipa hayo majukumu yote waache wajipe ila siku wakiachwa wasije wakaanza kuachama midomo kwamba walipiga deki Hadi migongo ikavimba..hiyo si guarantee ya ndoa..Kama walifanya Basi walihiari na wasije wakatake advantage ya kufanya hivyo kulaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa waliookoka hio ni divai mkuu sio gambe 🤣🤣🤣[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Nimeokoka lakini nakunywa pombe
Sent using Jamii Forums mobile app