Hiki ndo kinachosababisha usiolewe mpaka leo

Hiki ndo kinachosababisha usiolewe mpaka leo

Wale wabinti waliokua wanashangaa inakuaje huyu shangazi haolewagi miaka nenda miaka rudi wasishangae tena maana sasa hivi ndo ameshakua yule shangazi asieolewa...hahahahaa
Hivi kweli Mimi ndo yule shangazi?[emoji23][emoji23]
Screenshot_20191215-093012.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumegawanyika mkuu..wapenda ndoa tunajua tubihev vipi na wadangaji ndo mnaowapata nyie nao wanajua wafanye nn kwenu. BTW sijafika 30.
Duuh kumbe mnajijua kwa makundi ila sometimes hamuolewek ndo maana tunaangukia kwa ma slay vampires mnajua kuigiza

Hapa bar naliona bonge la Dada jeupee namba nane lina bonge moja la chura ni barmaid limenihudumia kinywaji kwa ukarimu si linafaa kuwa wife material ?au ninywe niondoke zangu

Mgonge mashine kwa heshima yangu mkuu!
 
Back
Top Bottom