Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,203
Yes wa kike mpendwaKumbe ni wa kike huyu?
Yes wa kike mpendwaKumbe ni wa kike huyu?
Sorry mkuu Jina lako nilijua la kike nisamehe🙏🙏Tuheshimiane ustake nikuvunjie heshima.
GOD is GOOD
Tumegawanyika mkuu..wapenda ndoa tunajua tubihev vipi na wadangaji ndo mnaowapata nyie nao wanajua wafanye nn kwenu. BTW sijafika 30.
Ujakosea mpendwa nina 30na ni Single MamaMaana najua ndo wale wale mnaogonga 30years na bado mmezalia nyumbani.
GOD is GOOD
Maana najua ndo wale wale mnaogonga 30years na bado mmezalia nyumbani.
GOD is GOOD
Yaan na yeye anaona kuna jambo kalifanya dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi unajiona umemaliza kila kitu.
#Shuainizako.
Kwanini unanifanyia hivi eti kulwa wangu?
Umerusha msituni shoga angu akuna wa kumpataJiwe gizani?
GOD is GOOD
Tuheshimiane usinitafutie ban .
GOD is GOOD
Easy.....ukipewa ban kwa ID hii si unakuja na ile nyingine
Mie nakushauri tu....kama unaona wivu kiasi hiko wenzio wanavyozalia nyumbani fanya mpango mkakati na wewe uzalie hapo kwa shemeji yako
Mbona kaja na kiherehere ivo utafikiri kavalishwa pete ya uchumba jana basi anaona kavuka darajaaaYes wa kike mpendwa
Nimefanyaje?Kwanini unanifanyia hivi eti kulwa wangu?
Hakuna kitu apoMimi nimefanya kazi ya utume ya kuwakumbusha tu kuwa mbadilike maana mnatia huruma sana.
GOD is GOOD