Watu wenye mtazamo huo wanafikra potofu. Hata MO dewji amekuza mara dufu biashara ya baba yake baada ya kutoka shule
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Maisha nayo vipi mtaani bado 90 na 100 au
Thermometer ina degree 100 na kazi yake inaishia kwapani tu.Nina degree moja, master degree is loading...
Na watoto wanakwenda shule
Kwa hiyo unataka watu wote wawe matajiri wakubwaUzoefu upo mwingi tu hawa matajiri wengi wakubwa si wasomi .
Hebu fanya research utaniambia.
Una uhakika? Huoni dalili za stress hapo anakuja kutafuta faraja JF?Huko vizuri
Sasa wewe mbona hujawa kama Bakhresa kama unajisifia ujinga?Thermometer ina degree 100 na kazi yake inaishia kwapani tu.
Leo nimekudharau sana sikujuwa kama wewe ni mjinga kiasi hiki.
Bakhressa na Billgates wana hata degree?
Waliwahi kusema Genius ni yule ambaye anameona kile ambacho wengine(wote wameona) wameona ila akafikiri kile ambacho wengine hawakufikiri.,mfano wengi walijua Oxygen huchochea moto, ila alyebuni uungaji vyuma kwa kutumia gas(oxyacetlyne) huyo ndo genius, Tchao,muuza nyanyaKama huwezi kukariri kitu huwezi kuwa genius.
Asante mkuuDuuuh ,nilipata One ...lkn yako ni ya Nguvu Mkuu!!
Hongera
Ww unakuja kuajiriwa na aliyeacha shuleMungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.
Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.
Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.
Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.
View attachment 958685
Yaani sie tusiosoma ni kama watu wa QNet au Forever au Alliance in Motion.Mara zote tunaongelea mafanikio ya wasiosoma wengine sio sisi wenyewe.Tunakana Bakhresa mara sijui nani,badala ya kujiangalia maisha yetu yapo wapi.Sie tumejaaa kusubiri utajiri wa miujiza.Ninachokipendea Kwa waliobahatika kupata shule wanajitahidi kuona mahitaji ya Msingi ya familia zao yanapatikana.Wakati tusiosoma tunakazana kujisifu Kwa mafanikio ya wengine.Kwa hiyo unataka watu wote wawe matajiri wakubwa
Ili maisha yawe 90 au 100 Huwa mnaangalia nini?Maisha nayo vipi mtaani bado 90 na 100 au
Tumpe Hongera pale alipofanya vizuri.Hongera kwako mkuu Kwa kufaulu vizuriUlikuwa vizuri,ila kwa elimu yetu,unaweza kuwa na As,lakini ni mwendo wa kukalili tu,na kuhamishia kwenye paper.
VP hizo As,zimelifrect kwenye maisha,harafu ndugu elimu ya form 4,ni ndogo sana,shahada uligonga VP?na upande wa cash money,una A au F?
Hivyo hivyo watu wote si lazima wawe wasomi wa daraja la kwanza . Kama ambavyo si lazima watu wote kuwa matajiri wakubwa.Kwa hiyo unataka watu wote wawe matajiri wakubwa
Ujumbe wa jamaa ni kuwa tufanye kazi Kwa bidiii tusitegemeee mteremko katika mafanikioumeshafanya ugunduzi wa nini kupitia elimu yako mkuu
Siwadharau kabisaHivyo hivyo watu wote si lazima wawe wasomi wa daraja la kwanza . Kama ambavyo si lazima watu wote kuwa matajiri wakubwa.
Lakini bado nakupa hongera kwa kazi ulioifanya. Hawa wa kubeti ni mfumo na utandawazi umewafikisha hapo. Usiwadharau
Umeshafeli wewe kwa mkuuMaisha niko B,