Hiki ndicho cheti changu cha form four

Kwa kuwa mafanikio ni kuthubutu ,basi ambae darasani ni zero , anatumia zirp yake katika maamuzi magumu . Msoni anaogopa kwani anajua uhai wa mtu una thamani kubwa . Kwa maneno mengine maisha ni vita , hata jeshini kupigana hasa sio wasomi .
Kwani wasome hawaugui au hawafi.
Mbona kifo chenyewe hakibagui kijana mkubwa hakiangalii masters yako.
 
Hongera sana bwana....

,..............................................................
UKIITAJI VITU USED NA VIPYA
-Aina zote kwa bei. "NAFUU".. ni PM
Kuna[emoji979] Vitanda,Makabati,Magodoro,Laptops,Cameras,Majiko,Mazurka,TV,Showcases Nk
................................,.................................
 
1.Campaign yako ni nini?
A. Wanafunzi kupata A'S wasijekua matajiri
B. Wanafunzi kupata F's wajekuwa matajiri
C. Je ni kweli wanao fail wote huja kuwa matajiri
2. Je wewe ni miongoni mwa matajiri wakubwa Tanzania na Africa mashariki?
 
Duuuuuuu ww ulkua kwikwi aisee dvn 1 point 8??
 
sijahudhuria Udsm but watu wanaonifanyia kazi zangu wame attend hapo
 
Ulijitahidi mkuu !!! Vipi maisha nayo umepiga A & B ?! [emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akikijibu naomba uni tag asee nataka kujua anaendeleaje kimaisha maana waliosoma sana huwa waoga wa maisha kuliko ambao hatujasoma
 
Cheti kinameremeta
 
Hiyo unajipa matumaini tu ndugu
unamfahamu ww mpaka useme anajipa matumaini kuna watu waliishia darasa la 7 wengi tu na wanapesa chafu sio za kulisi ni jasho lao walio wengi mliosoma mnaogpoa maisha sana mnaishia kuajiliwa mnafanya kazi ya kutomiza ndoto za wengine badala ya zenu
 
Kwa kuwa mafanikio ni kuthubutu ,basi ambae darasani ni zero , anatumia zirp yake katika maamuzi magumu . Msoni anaogopa kwani anajua uhai wa mtu una thamani kubwa . Kwa maneno mengine maisha ni vita , hata jeshini kupigana hasa sio wasomi .
Nmkuelewa mkuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…