roma mnazarety
Member
- Dec 5, 2013
- 94
- 15
Huyu mchungaji mi simtingi kabisaaaaaaa
jamaa kapitiwa tu.... sio kila mchungaji anasema ukweli, nao ni wanadamu!
wafupi nao mna haki ya kuoa bana!
![]()
kulaleki, hapa sijui utamshushaje!
![]()
![]()
Kachemshaaaaa!! Biblia haisemi habari za umri wazi wazi lakini kwa kila mahusiano yaliyoonyeshwa katika biblia Mwanaume alikuwa na umri mkubwa kuliko mwanamke sasa hapo si ni juu yako mwenyewe kufikiri au unataka biblia ikutamkie kila kitu mfano mwanaume na uoe mwanamke uliyemzidi miaka 4? Mwangalie Adam na Eva, Ibrahimu na Sara na wengineo waliotajwa umri..........
Kwa hiyo sisi wafupi tusioe
Muoe wafupi wenzenu!
Hahaha wee nae ni mbaguzi
Kwa hiyo sisi wafupi tusioe
oa mbilikimo
Kachemshaaaaa!! Biblia haisemi habari za umri wazi wazi lakini kwa kila mahusiano yaliyoonyeshwa katika biblia Mwanaume alikuwa na umri mkubwa kuliko mwanamke sasa hapo si ni juu yako mwenyewe kufikiri au unataka biblia ikutamkie kila kitu mfano mwanaume na uoe mwanamke uliyemzidi miaka 4? Mwangalie Adam na Eva, Ibrahimu na Sara na wengineo waliotajwa umri..........
mkuu biblia imeweka wazi kabisa sema sikumbuki mstari ila nawatafutia then nitawawekea hapa unasema'' ALAANIWE YEYOTE ATEMBEAYE NA MTU MWENYE UMLI SAWA NA MAMA YAKE'', yule mzee wa upako si mfanya biashara tu (freemason) hajui vitu vingi kwenye bible anajichanganya sana hata hajui mungu anacommunicate vipi na watu wake, na anasema mungu hawezi tumia ndoto ukiota inamaana we hayo mabo ulikua unayawaza mwenyewe yaani ni vurugu tupu huyu bwana, na ukitaka kujua huyu bwana ni devil mwambie amwalike Mch mwakasege kama lile paa la kainsa lake halijafunuka patachimbika pale