Ney wa Barca
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 310
- 36
kwa hio mbilikimo wasioe? maana kumpata mbilikimo mwenzio ni kazi
Mzee wa upako a.k.a transformer jana channel ten nanukuu>>>
-Kama wewe ni mwanaume hutakiwi kumuoa mwanamke mrefu kuliko wewe, maana wewe ni kichwa sasa kichwa kitakaaje chini? teh kichwa hukaa juu alafu vingine chini.. utamsalimiaje mke wako kwa kuinua kichwa? unatakiwa kuinamisha kichwa kumwangalia mke wako kwa chini..
-afu kwenye umri biblia haijaweka umri gani na gani uoane.. so hata kijana mdogo kabisa anaweza kumuoa mama mzee wa miaka 50, hakuna shida wala nini.
Nadhani ameeleweka, kazi kwenyu(kwenu)