Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 641
Hawa jamaa wameakuwa wakijitangaza kuwa na chaneli 24 kwa sasa huku wakijinadi kuziongeza hadi 60 kwa hapo baadaye;lakini cha kushangaza,hawasemi hizo 24 walizonazo kwa sasa ni zipi.Kwa hiyo kwa wale waliokwishanunua naomba watujuze hizo chanels zilizopo mpaka sasa ni zipi.
Lakini pia sijajua kama wanayo wesite ili tutembelee huko kujua zaidi.Digitek wanayo ila ni kama haipo,maana pamoja na kuwa na vitu vichache sana lakini pia hawai-update kabisa na pia ina uongo mwingi.