Hahaa! Demu wangu nikimpa maelekezo ya kufanya huwa ananijibu " sawa baba angu nitafanya kama ulivyoagiza,sasa itabidi nimpige marufukuJF,
Kuna misemo tofauti tofauti imekua ikiibuka katika baadhi ya vipindi.
Kimsemo kimoja wapo ni hii cha "kaka" ujue sijui ni kutokana na kuzoea kiswanglishi au vipi?.
Bora mtu aniite blaza kuliko aseme kaka sijui najisikiaje afu bora angalau awe mdogo au mwanamke angalau sioni shida.
Sasa mtu ni age-mate au amekuzidi anakupigia sim au mnaonge anasema "habari kaka" yaani katika kila kitu kaka
Aah! naboreka na nibora aseme kaka flani labda.
Sasa kaka kaka kaka wakati kaka zenyewe hawamaanishi wanaongea kama kimsemo au kafasheni "
INANIBOA
SIJUI WADAU WENGINE MNAONAJE
Huyu nae anaongeza ukakasi..sasa wewe mtu kijana rijali afu unakubali vipi kuitwa BABU (SHAIBU).Inakera sana Babu
Shukran kaka raimundo[emoji3] [emoji125] [emoji125]
Hili neno tumekatazwa kwenye hii thread, aaah!
Amesem hapendi kuitwa kaka...sawa kaka!!Huyu nae anaongeza ukakasi..sasa wewe mtu kijana rijali afu unakubali vipi kuitwa BABU (SHAIBU).
wewe ukaongezea neno ambalo mimi pia huwa lina nipa ukakasi mtu kukuita BABU.Amesem hapendi kuitwa kaka...sawa kaka!!
Nisamehe mzeewewe ukaongezea neno ambalo mimi pia huwa lina nipa ukakasi mtu kukuita BABU.
Ilihali wewe ni kijana mtanashati na rijali.
Ni "babuu"😀😀😀wewe ukaongezea neno ambalo mimi pia huwa lina nipa ukakasi mtu kukuita BABU.
Ilihali wewe ni kijana mtanashati na rijali.
Ona sasa unarudia yale yale ila hapa kwa lugha nyingine...BABU lazima awe mzee,Nisamehe mzee
Sasa ukiita hivyo si ndo itakuwa kama tuko pemba.Ni "babuu"😀😀😀
Sasa tukuiteje kaka, "ooh sorry nimerudia tena kaka"Ona sasa unarudia yale yale ila hapa kwa lugha nyingine...BABU lazima awe mzee,
hivyo BABU=MZEE , hakuna MZEE kijana.
ahaaaa........eti umerudia tena.Sasa tukuiteje kaka, "ooh sorry nimerudia tena kaka"