The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,689
- 2,859
Sawa kaka
usijali kaka hilo neno nalolitapita kipindichakekikiisha huwa yanakuja kwa msimu; tulikuwa na neno jembe,bro,nishida,mwanangu,papa; ongezea na mengine bila kusahau kwa sasa neno bashite,kaka na jiongezeJF,
Kuna misemo tofauti tofauti imekua ikiibuka katika baadhi ya vipindi.
Kimsemo kimoja wapo ni hii cha "kaka" ujue sijui ni kutokana na kuzoea kiswanglishi au vipi?.
Bora mtu aniite blaza kuliko aseme kaka sijui najisikiaje afu bora angalau awe mdogo au mwanamke angalau sioni shida.
Sasa mtu ni age-mate au amekuzidi anakupigia sim au mnaonge anasema "habari kaka" yaani katika kila kitu kaka
Aah! naboreka na nibora aseme kaka flani labda.
Sasa kaka kaka kaka wakati kaka zenyewe hawamaanishi wanaongea kama kimsemo au kafasheni "
INANIBOA
SIJUI WADAU WENGINE MNAONAJE
Sawa kaka nimekupata kakaJF,

Kinachouz n kutomaanisha hiyo kaka yenyeweUtajisikiaje age mate wako au mtu aliekuzid miaka miwili akuite dogo mbele ya mkeo ?
'kaka' ni ishara ya heshima tu despite of age
or status variation kuonyesha togatherness sisi marastafarian tunaitana bredren ambayo kiingereza ni brethren ebu fikilia vizuri kaka