Hiki kimsemo cha kumuita kila mtu 'kaka' kinaboa

Hiki kimsemo cha kumuita kila mtu 'kaka' kinaboa

JF,

Kuna misemo tofauti tofauti imekua ikiibuka katika baadhi ya vipindi.

Kimsemo kimoja wapo ni hii cha "kaka" ujue sijui ni kutokana na kuzoea kiswanglishi au vipi?.

Bora mtu aniite blaza kuliko aseme kaka sijui najisikiaje afu bora angalau awe mdogo au mwanamke angalau sioni shida.

Sasa mtu ni age-mate au amekuzidi anakupigia sim au mnaonge anasema "habari kaka" yaani katika kila kitu kaka
Aah! naboreka na nibora aseme kaka flani labda.

Sasa kaka kaka kaka wakati kaka zenyewe hawamaanishi wanaongea kama kimsemo au kafasheni "

INANIBOA

SIJUI WADAU WENGINE MNAONAJE

Sawa KaKa [emoji276]
 
Sasa mtu ni age-mate au amekuzidi anakupigia sim au mnaonge anasema "habari kaka" yaani katika kila kitu kaka
Aah! naboreka na nibora aseme kaka flani labda.

Kaka ni ndugu, anakuwa amekuthamini kama ndugu yake, sioni tatizo kuitwa kaka kama ni mwanaume, ila inakuwa ngumu unaposikia mwanamke wa pwani anamwita mwanamke mwenzake babu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom