Hiki kikombe kina umri wa miaka 20+

Hiki kikombe kina umri wa miaka 20+

Ila kuna watu wanatunza vitu... Nina jamaa angu nilisoma nae Udsm yeye yuko third year,mimi nipo first year ingawa hatukua na ushikaji kihivyo.... Nilivyomaliza chuo nikaajiriwa mkoa flani nikamkuta nae anafanya kazi hapo so tukawa washkaji...

Siku moja 2018 tupo mahali tunapiga tungi maana wote ni watu wa vyombo... Akanionyesha soksi flani alikua amevaa, akasema "Unaziona hizi soksi, hizi soksi nimezinunua mwaka 2009 wakati nipo second year pale Udsm. Halafu huwa nazivaa mara nyingi tu nashangaa hazichakai kabisa"..... Aisee nilishangaa sana, halafu zipo elastic ni mpya mpya tu.
 
Home kuna meza ilitengenezwa 1992 ni nzuri, misiba yote ya home, baba, mama, dada na mdogo wangu imetumika kuweka majeneza yao tunapoaga. Siipendi nahisigi ni kama inatusubiri na sisi! Ni sehemu ya historia home sababu ni ya muda ila siipendi ipo mpaka leo nzuri tu.
 
Dah' Mkuu asante mnooo... Mm mwenyewe nina kikombe ambacho kimebeba kumbukumbu nyingi sana... Ni kikombe Cha mwaka 2013 ambacho nilikirithi kutoka kwa mzazi....

Huwa nakilinda kama Lulu
 
Home kuna meza ilitengenezwa 1992 nzuri ... misiba yote ya home, baba,mama, dada na mdogo wangu imetumika kuweka majeneza yao tunapoaga...siipendi nahisigi ni kama inatusubiri na sisi! Ni sehemu ya historia home cz ni ya muda ila siipendi ipo mpaka leo nzuri tu.
Dah pole sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom