The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,486
Labda jamaa mleta mada aliiba kimoja wapo.Tulikuwa navyo kama hivyo.Aiseee.
Labda jamaa mleta mada aliiba kimoja wapo.Tulikuwa navyo kama hivyo.Aiseee.
Liko vizuri, zamani makabati yalitengenezwa kwa mbao imaraMimi Kabati la Nyumbani Kwangu limetimiza miaka 31 juzi
Aaah wapi! Hiki naachia watoto urithi.Tupa hiyo ni tetanus
Vipo imara sanaTulikuwa navyo kama hivyo.Aiseee.
Ni kumbukumbu nzuri sana.Noma sana! Kuna glasi moja hivi ya kunywea maji mshua, inakuwa kama gamba la kobe, naona bimkubwa alishaiweka kama kumbukumbu pale home.
Nipo shule ya msingi glasi ipo.
Mshua wangu pia bado anayo saa ya AJANTA ya ukutani, inatumika mpaka leo. 😊
Kizibo cha asali saaafiHii nimeitunza hapa mwaka wa nne huu...😋View attachment 3595498
Kimepitia shuruba ila bado kinadunda, sema nimesahau kisosi chakeVitu vya zamani vilkua vinatengenezwa kwa uimara sana,bila shaka hicho kikombe kimeshakula mizinga ya kudondoswa sakafuni mara kibao ila bado kipo imara
Vya sasa hivi hata vikigongana na vikombe vya plastic vinavunjikaNi kweli, kuna siku kilombe cha udongo, kiliponyoka mkononi, aisee ni chenga tupu sakafuni. Kiliisha chote. 😊
Hiki kinatumika mara moja moja kunywe vitu special tuInabidi sasa hicho kikombe usikitumie,ukiweke kama kumbukumbu tu coz siku kikivunjika utaumia sana.
Saafi, kipengele ni kupata kanda zake zinazofanya kaziMiaka ya 1980, baba yangu alinunua redio casette player. Kpindi hicho kila mtu alikuwa anaishangaa. Tulikuwa tunaona ni kama ina ''vidude'' vingi sana vya kubonyeza, mtu hujui ubonyeze kipi. Alikuwa anaitumia wakati yupo nyumbani tu, kusikiliza redio na kanda za dini. Ilikuwa inafungiwa ndani muda wote. Fast foward baada ya sisi kukua na kuondoka nyumbani na wazazi kufariki, bado iko, mpya kwa sababu haikuwa inatumika au sahihi kila mtu alikuwa anaogopa kutumia asije kuharibu.
Zamani vya udongo pamoja na uimara wake vilikuwa vinadumu sana sababu vilikuwa vilitunzwa kwa ajili ya wageni, familia inatumia plastiki. Halafu kama familia zetu mfano Kagera wakati wa kula tulikuwa tukitumia sinia moja familia nzimaWatoto ndio wanapukutisha vitu cha mchina siku hizi. Kila baada ya muda utasikia unaambiwa vikombe vimepungua. Madogo wanavibamiza.
Mkuu umri umeenda sanaHiki nacho kipimo cha kumanya umri wa vijeba jf
Hivyo vikombe mwinyi anaingia madarakani vipo na mimi nimetuma sana tu mtajua wenyewe
Asante, wewe umetunza nini chenye umri mkubwa?Hongera kutunza kumbukumbu
Hahahaha!Labda jamaa mleta mada aliiba kimoja wapo.
Hata home ipo saa ya ajanta, imezidi umri watu wengi humu jeyefusaa ya AJANTA ya ukutani,
Kuna meza fulani hivi ilikuwa na partition tatu, ya tv, deki na chini kuweka mikanda, ilikuwa kama hii sema haikuwa mbao kama hiiMeza ya tv home ina miaka takribani 22-25 hivi.. ilipokuja teknolojia ya tv za ukutani, ipo ipo tu.. mbao ngumu sana ile
Itunze mkuu, bahari nzuri haziharibikiHata home ipo saa ya ajanta, imezidi umri watu wengi humu jeyefu
Mzee alinunua mwaka 1997 wakati anahamishiwa...... Kikazi