Hiki kifo ni ujumbe kwa Heche?

Hiki kifo ni ujumbe kwa Heche?

That’s life people are not the same and it’s ok.

But them two are former politician they run a podcast named ‘the rest is politics’.

One is a former Tony Blair ‘political advisor’, the other is a former ‘SPY’ Tory MP and geopolitics analysts.

Kwa kifupi ni kwamba if you follow geopolitics, you get the U.K perspective (because there is national security bias on their analytics).

It’s long story, uchambuzi wa siasa; ndio maana watu kama sisi kueleweka humu JF ni ngumu. A majority siasa zenyewe hawazijui wala kufuatilia.

Sean Carrol, Brian Green; I am not even gonna waste my time explaining what they do kama unadhani mathematics is their specialty.

👋
... mi umeniacha hoi pale unakuja na hii kitu ya ma'black holes na dark energy' si ndo nikaona we bro hufai! 😂 ile sehemu ya politics ilifichwa na hiyo 'black holes' ndo mana sikuona! ... all the same I hate very long lectures!
THANKS FOR TOLERATING MY NONSENCE!
 
Nakumbuka Nyerere aliwahi kutoa mfano wa anayeonja kula nyama ya mtu na matokeo yake.
Sasa sisi kwa vile tumekubali kuwa kama alivyo tuita hayati Jomo Kenyatta basi tumebaki kuona yanayoendelea kama vile utani wa Simba na Yanga hivyo hatujali.
Hivi si ni ujinga kuamini eti Polepole, Mdude, Soka, Chaula na walio potea wengine WAKO HAI? Ni wazi wamesha uwawa! Jee ni nani anawauwa watu hawa? Au nanianatoa amri kuwa wa uwawe kama alivyo uwawa Mzee Kibao? Tunawachekea/tunamchekea huyo muhusika na hata Mungu kaamua kutuacha kwa sababu Alisha agiza (...) kutomuacha aishi.
Yaani taifa lililokuwa la mfano wa kuigwa na kimbilio la amani Sasa ndilo la mauaji, utekaji, matishio nk nk?
Yaani zaidi ya yote Ufiraji? Yaani mpaka yanaenda kusemwa nchi za nje kuwa "kuingiza uume njia ya haja kubwa" nayo ni adhabu rasmi? Hii laana tumekubali kuwa ya nchi? Na wanajitokeza hadharani kina Mwaipopo na hakuna wa kukemea! Nchimbi uko wapi? Jacob hata wewe? Sinde umeufyata na kukaa kimya? Venance hata kama umestaafu lakini waweza kutoa kauli ya kukemea! Ahh basi
 
Mola awape moyo wa uvumilivu wafiwa wote, pia tumuombee yaliyo mema mwenzetu.
 
Huwa una akili za kitoto sana za kusingizia wazungu.Ina maana Watanganyika hawana ufahamu wa kujua mema na mabaya?Hiyo aidha ni kuwadharau Watanganyika au akili zako ni finyu na hauwajui Watanganyika.
Hii game kuielewa ngum sana unatakiwa uwe deep sana!!

Hakuna vurugu popote duniani zinaratibiwa na lay men waitwao wananchi!!

Kuna kitengo cha kijasusi ambacho ni opportunistic kina ratibu mambo tokana na upepo ulivyo kwa malengo maalum!!

The so called watanganyika kama Mimi na wewe ni jamvi la yaliyoratibiwa sirini then wakapewa wachezaji wa script yenyewe then wewe na Mimi ndio tuingie barabarani!!
Mwenye akili anajua Hadi sasa yanayoendelea yanaratibiwa nje kabla hayajaingia ndani!!

Vita iliyopo ni ya mabeberu yakipigania rasilimali za nchi hii wala sio ukombozi wa Tanganyika!!hata Leo upande mmoja ukishinda hakuna mtanganyika atakaefaidika na chochote Hali itabaki kama ilivyo kimaisha tutapozwa TU na propaganda za vyombo habari!!

Kwani marehem chuma alipotangulia Hali ya maisha ilibadilika !?zaidi ya propaganda ya vyombo habari!!?

Sanuka,maandamano hapana kabisa!!
 
Wapi nimesema nakukaribisha kwasababu ya maandamano
Unanilisha maneno?

I have no plans to join the protest, and I'm not willing to be used by the people you mentioned either.

I was simply intrigued by your comment, so I reached out

If you're interested, maybe we can go shopping together.😅
Stay safe!!nipo zangu kijijini napata raha huku!!

kijijini Kuna kila kitu!
 
Chadema kama Chama mechanism yao ya kujilinda iko extremely poor. Nilitegemea watu waliokaribu na makamu akiwemo dreva wawe kwenye ring zao kiusalama. Dreva wa makamu analala lodge bila tahadhari zozote za kiusalama? Kuna mengi nimejiuliza binafsi hata baada ya tukio! Sasa sisi wengine ni no body unaishia kusikitika tu.
 
Hivi wewe Samuya utaendelea kuua Watanganyika hadi lini? Damu za 29.10.2025 hazijakata kiu yako ya damu zetu?
 
Hawa hawa polisiccm?
Hawa wasio na tija kwa raia?
Heche alianza kufuatiliwa kitambo sana...
Inawezekana wafuatioiaji hawakujua mizizi ya undugu kati ya Heche na dereva wake...

CDM watafute simu ya marehemu... Wanyonye mawasiliano yote ndipo waikabidhi Polisi.
 
Kama ni kweli unavyohisi,wamemuonea baba wa watu!Dhalimu wakubwa
 
Back
Top Bottom