Hiki kifo ni ujumbe kwa Heche?

Hiki kifo ni ujumbe kwa Heche?

Kutuma salamu ndio kuchukua uhai wa mtu kirahisi hivi.

Hizi familia zetu za kiafrica ukishamuondoa ‘bread winner’ unaenda umiza watu wengi sana nyuma yake.

Somo la bure, hapa ni ‘ogopa sana kukabidhi, madaraka makubwa kwa wapuuzi’.

Surely hawa watu wangeweza kutimiza hazma yao ya kuiba na kuharibu nchi bila ya hizi senseless killings.

Kama una uwezo wa kuzuia mikutano kwa kutumia mamlaka yako vibaya. What do you aim to achieve kwa kuchukua maisha ya dereva zaidi ya ujinga tu.

So sad, ogopa sana watu wenye akili ndogo; kupewa mamlaka makubwa.

Vyombo vya usalama na ulinzi hii ilitakiwa risk analysis yao kabla ya kumpa Samia nchi.
Ogopa Damu Mzee. Hata kama una akili timamu. Utaforsiwa kufanya mambo ya hovyo. Ili uzidi kujutia maishani na ukose Amani
Na mwisho wao uko karibu. Maana nchi imevimba sana.
 
Silazima nisalimu Wana jamvi.

Katika Hali ya kushangaza na kustaajabisha, ni Jana Tu alitoa kauli kuwa anafuatiliwa na wasiojulikana.Leo Dereva wake kafa..NI kuna ujumbe umetumwa kwake ama Vipi?
Ni kama akae kwa tahadhari sana, anatafutwa kwa kila njia
 
Kutuma salamu ndio kuchukua uhai wa mtu kirahisi hivi.

Hizi familia zetu za kiafrica ukishamuondoa ‘bread winner’ unaenda umiza watu wengi sana nyuma yake.

Somo la bure, hapa ni ‘ogopa sana kukabidhi, madaraka makubwa kwa wapuuzi’.

Surely hawa watu wangeweza kutimiza hazma yao ya kuiba na kuharibu nchi bila ya hizi senseless killings.

Kama una uwezo wa kuzuia mikutano kwa kutumia mamlaka yako vibaya. What do you aim to achieve kwa kuchukua maisha ya dereva zaidi ya ujinga tu.

So sad, ogopa sana watu wenye akili ndogo; kupewa mamlaka makubwa.

Vyombo vya usalama na ulinzi hii ilitakiwa risk analysis yao kabla ya kumpa Samia nchi.
... ni kweli ameuwawa au mnatujaza tu kwa sababu za kisiasa? ... hatujaona hata picha moja ya hali ilivyokuwa chumbani kwa marehemu kutoka CHADEMA media, zaidi ya taarifa ya Polisi kwamba pamoja na mwili waliona dawa za binadam kibao!
 
... ni kweli ameuwawa au mnatujaza tu kwa sababu za kisiasa? ... hatujaona hata picha moja ya hali ilivyokuwa chumbani kwa marehemu kutoka CHADEMA media, zaidi ya taarifa ya Polisi kwamba pamoja na mwili waliona dawa za binadam kibao!
Hata kama utaki kutuhumu watu (kuchukulia kifo kama jinai); basi polisi wanajukumu la ku-establish motive ya kifo if its ’suicide’ or ‘overdose’.

Ni rahisi sana kuhitimisha a person cannot overdose unless they want to commit a suicide.

A suicide requires stressful evidence, watu hawakurupuki tu asubuhi moja nakuchukua maisha yao. There is usually a background story (it’s the role of police to establish that).
……………….

JF ‘jukwaa la siasa’ ni shule ya siasa za Tanzania (ignore mataahira ya chit-chat yaliyo vamia jukwaa).

The moral of the story is:

Ukishazijua siasa za Tanzania, unaanza elewa wosia wa watu ambao kwa miaka kadhaa. Huko nyuma na leo wanaumia kuona watu kama kina Lissu ambao wanachukua risk kuwatetea watanzania (imechukua muda kuelewa hawa ni watu ambao wapo kwenye sensitive post za serikali.

Watanzania ni shida.
…………

Siasa za Tanzania and future trends ni easily predictable, Ukishaelewa akili za raia wenyewe the choices are usually easy.
……..

Sasa basi ni mataahira tu wanaweza chukua uhai wa dereva to send a message. Maana yake vyombo vya usalama na ulinzi havina control tena, raisi akiamua kutumia madaraka yake vibaya.

The whole thing is just pathetic.

Why would you kill a driver?
 
Maandamano sio njia sahihi!mnatumika chambo kufanikisha malengo ya USA, European union, Israel nanwengineo waliopoteza rasilimali muhimu kwa waarabu,wachina na warusi ili kumlinda mwenyekiti!!

Sasa nyie ni sehemu ya desert mission (mission nchi kavu)ili kifanikisha operation PJLK tuamini ni .......!!tusubiri!!?
Huwa una akili za kitoto sana za kusingizia wazungu.Ina maana Watanganyika hawana ufahamu wa kujua mema na mabaya?Hiyo aidha ni kuwadharau Watanganyika au akili zako ni finyu na hauwajui Watanganyika.
 
Pengine mama analaumiwa sana ila huenda machawa ndo wanaribu taswira kwa hatua
Anajua kila kitu USIMTETEE unataka kusema hasikii haya yanayo endelea, mbona kuhusu kibao alitoa press ya kifo ni kifo na yake ya oktoba aliyoa press ya nguvu iliyo tumika inaendana na yaliyo tokeo, huyo mama ni muuaji hajali kuhusu uhai wa watanganyika kabisa
 
Music is a universal language ... breaks age and national barriers!
I HOPE YOU WILL THANK ME FOR THE NEXT SONG:

View: https://youtu.be/laIvApB4YJ4?si=kXuOLXCHfmCMmAh-

Yaani bora unitafutie documentary, lakini siwezi sikiliza huo upuuzi hata kama niko kwenye death bed na hiyo ndio dawa.

Sijui hata current hit songs za huku kijijini kwetu leo na chart toppers are $millionaire that is since 2010. Leo uniambie nisikilize makelele hayo spare a thought “ooh my god”
 
I'M SCARED OF MATH MORE THAN I'M SCARED OF HEIGHTS! ... WE CAN'T SHARE A CUP OF TEA BRO!
That’s life people are not the same and it’s ok.

But them two are former politician they run a podcast called ‘the rest is politics’.

One is a former Tony Blair ‘political advisor’, the other is a former ‘SPY’ Tory MP and geopolitics analysts.

Kwa kifupi ni kwamba if you follow geopolitics, you can get the U.K perspective from their podcast (though the national security angle is biased on their analytics favouring UK position).

It’s long story, kuhusu uchambuzi wao wa siasa; ndio maana watu kama sisi kueleweka humu JF ni ngumu if you actually follow and understand politics. A majority ya wachangiaji wa jukwaa la siasa; siass zenyewe hawazijui wala kufuatilia.

Tubes zingine yule ni ‘Sean Carrol’ na ‘Brian Green’ (famous science communicators); I am not even gonna waste my time explaining what they do kama unadhani mathematics is their specialty.

👋
 
Back
Top Bottom