Duh mtihani Sasa huo 😁Ivi nchi ingekua vp hasa kama jaribio lingemkuta mlengwa mkuu?
RESILIENT KATO karibu kwenye kilele cha maonyesho ya biashara 7/7Huwa wanaanzia mbali kabla ya main tagert!
Kwanza wana mu weaken Target kwa kum eliminate mtu alie karibu nae!
Ili kusababisha panic mode ya tagert!!
Halafu then wakati tagert aki figure out afanye nini au nani amuamini tena kwa KAZI ya udereva ndio wanaenda kiulaini!!!
Hawataki kufanya kosa kama lile la Tundu Lisu,walimuacha dereva akiwa hai siku waliopanga kukamilisha mission dereva akamuokoa coz tuamini dereva alikua anapata information ya kila kitu ndio maana yeye na lisu hawakutoka kwenye Gari,
Sasa safari hii heche atakisa mtu muhimu wa siku nyingi anaetumiwa na unit ya usalama ambao wapo against na wasiojulikana!dereva mpya atakua mgeni wa mawasiliano ya Siri ndipo watatumia hiyo weakness kukamilisha mission yao!!
Nawaza na kuwazua wala sio mjuzi WA mambo haya!!!
Mipango huanza mapemaKwani siku umeme umekatika ndio kifo kimetokea?👀
Mlengwa mkuu analindwa na team against wasijulikana!!baada ya tagert mkuu kuwa sero alihitajika mtu jasiri ambaye angetumika ku destabilize this regime ndio huyu sasa!!Ivi nchi ingekua vp hasa kama jaribio lingemkuta mlengwa mkuu?
Hali ya kisiasa itazidi kua mbaya sanaMlengwa mkuu analindwa na team against wasijulikana!!baada ya tagert mkuu kuwa sero alihitajika mtu jasiri ambaye angetumika ku destabilize this regime ndio huyu sasa!!
Lengo akinukishe ili wapate sababu zao za kuuondoa utawala uliopo wajuavyo wao!!
Sasa wameshajua kazi waliyo nayo ni kubwa coa analindwa na unit nyingine ndani ya mfumo!
Itabidi wa eliminate kwanza mpokea maelekezo wakati wa safari Ambae ni dereva,huyo mpya atakaekuja atakua mgeni wa KAZI ya awali ya kumlinda mhusika ndio iwe rahisi kwao!
Kama chadema wakikosea kuchagua dereva mpya then tayari!!
Pengine mama analaumiwa sana ila huenda machawa ndo wanaribu taswira kwa hatuaHivi huyu mama ametujambia au vipi mbona tukitaka kufanya maamuzi tuna6,6. Kwamba mjambo wake niwa sayari nyingine au?? Aisee huyu mama kama ni kutujambia mayai viza yaka some aisee huo ni mjambio wa kidigree ..RIP dereva
Upo Sahihi hata mimi sidhani kama huu ni muda muafaka! Ilitakiwa Watanganyika wapewe mafunzo alafu wapewe vyombo vya moto😂 Liwalo na Likawe kama hodi hatuigongi Ikulu Magogoni Tutakufa Kiume kama wanetu walivyotangulia Oct29!Mkuu Kuna muda wa kustrke na muda wa kumlia timing adui.. Ukistrike majira mabaya unaumia
Maandamano sio njia sahihi!mnatumika chambo kufanikisha malengo ya USA, European union, Israel nanwengineo waliopoteza rasilimali muhimu kwa waarabu,wachina na warusi ili kumlinda mwenyekiti!!RESILIENT KATO karibu kwenye kilele cha maonyesho ya biashara 7/7
Upo Sahihi hata mimi sidhani kama huu ni muda muafaka! Ilitakiwa Watanganyika wapewe mafunzo alafu wapewe vyombo vya moto😂 Liwalo na Likawe kama hodi hatuigongi Ikulu Magogoni Tutakufa Kiume kama wanetu walivyotangulia Oct29!
Siungi mkono hoja 🤣Upo Sahihi hata mimi sidhani kama huu ni muda muafaka! Ilitakiwa Watanganyika wapewe mafunzo alafu wapewe vyombo vya moto😂 Liwalo na Likawe kama hodi hatuigongi Ikulu Magogoni Tutakufa Kiume kama wanetu walivyotangulia Oct29!
📌Maandamano sio njia sahihi!mnatumika chambo kufanikisha malengo ya USA, European union, Israel nanwengineo waliopoteza rasilimali muhimu kwa waarabu,wachina na warusi ili kumlinda mwenyekiti!!
Sasa nyie ni sehemu ya desert mission (mission nchi kavu)ili kifanikisha operation PJLK tuamini ni .......!!tusubiri!!?
Mimi nikifikisha 240ml alcohol, Huwa siogopi chochote...ndio siasa zetu za Afrika. Wangejua kuna watu hawaogopi kufa Hamza angefufuka angewapa neno!
Leo Kuna comrade mmoja kaka KUTEMBEA hapa kwangu now mlemavuSiungi mkono hoja 🤣
Heche alianza kufuatiliwa kitambo sana...Silazima nisalimu Wana jamvi.
Katika Hali ya kushangaza na kustaajabisha, ni Jana Tu alitoa kauli kuwa anafuatiliwa na wasiojulikana.Leo Dereva wake kafa..NI kuna ujumbe umetumwa kwake ama Vipi?
Wapi nimesema nakukaribisha kwasababu ya maandamanoMaandamano sio njia sahihi!mnatumika chambo kufanikisha malengo ya USA, European union, Israel nanwengineo waliopoteza rasilimali muhimu kwa waarabu,wachina na warusi ili kumlinda mwenyekiti!!
Sasa nyie ni sehemu ya desert mission (mission nchi kavu)ili kifanikisha operation PJLK tuamini ni .......!!tusubiri!!?
Nani anayejali kuhusu kufa mkuu! Waliniulia marafiki zangu hawa mang'oi huwa nakutana na watoto wao mtaani Inatia Hasira sana lakini kama ulivyosema Muda Muafaka Utapowadia Watafurahi!View attachment 3620219
Unataka yajirudie tena,
Yah the timing is not right, but tunakaribiaNani anayejali kuhusu kufa mkuu! Waliniulia marafiki zangu hawa mang'oi huwa nakutana na watoto wao mtaani Inatia Hasira sana lakini kama ulivyosema Muda Muafaka Utapowadia Watafurahi!