Hiki kifo ni ujumbe kwa Heche?

Hiki kifo ni ujumbe kwa Heche?

Silazima nisalimu Wana jamvi.

Katika Hali ya kushangaza na kustaajabisha, ni Jana Tu alitoa kauli kuwa anafuatiliwa na wasiojulikana.Leo Dereva wake kafa..NI kuna ujumbe umetumwa kwake ama Vipi?
Nyie mnaotumwa kuteka na kuua watu, mkumbuke wanaowatuma hawataishi milele, ipo siku mtalipa sawasawa ba matendo yenu.
Na nyie mnaotuma watu wakaue wenzao, siku zenu ni chache sana.
Mungu awalipe hima.
 
Pengine mama analaumiwa sana ila huenda machawa ndo wanaribu taswira kwa hatua
Ni sawa, lakini bila baraka zake, jambo kubwa kama hilo haliwezi kufanyika likamyamaziwa.

'Baraka zake' huanza kupimwa pole pole na hao unaowaita machawa!

Wakiona wanayoyafanya bila kibali hayakaripiwi wala kuonywa na mamlaka yoyote basi wanaji-upgrade wapendavyo, maana wataona kuwa mkuu hana tena 'meno' kwao.

Kwa hiyo matatizo yote hayo ni baraka zake za moja kwa moja ama ni zake kwa njia ya mzunguko.
 
Hivi huyu mama ametujambia au vipi mbona tukitaka kufanya maamuzi tuna6,6. Kwamba mjambo wake niwa sayari nyingine au?? Aisee huyu mama kama ni kutujambia mayai viza yaka some aisee huo ni mjambio wa kidigree ..RIP dereva
Fedhuli samia anakojolea tu nchi atakavyo, ngoja tuone.
 
Ni sawa, lakini bila baraka zake, jambo kubwa kama hilo haliwezi kufanyika likamyamaziwa.

'Baraka zake' huanza kupimwa pole pole na hao unaowaita machawa!

Wakiona wanayoyafanya bila kibali hayakaripiwi wala kuonywa na mamlaka yoyote basi wanaji-upgrade wapendavyo, maana wataona kuwa mkuu hana tena 'meno' kwao.

Kwa hiyo matatizo yote hayo ni baraka zake za moja kwa moja ama ni zake kwa njia ya mzunguko.
Je raisi amekua kivuli kwamba kuna sauti zenye mamlaka zipo nyuma yake zenye kiamua lolote wakati wowote?
 
Je raisi amekua kivuli kwamba kuna sauti zenye mamlaka zipo nyuma yake zenye kiamua lolote wakati wowote?
Ni hivyo kabisa yaani!
Vinginevyo ni yeye anayebariki maovu yote hayo.
 
Kutuma salamu ndio kuchukua uhai wa mtu kirahisi hivi.

Hizi familia zetu za kiafrica ukishamuondoa ā€˜breadwinner’ unaenda umiza watu wengi sana nyuma yake.

Somo la bure, hapa ni ā€˜ogopa sana kukabidhi, madaraka makubwa kwa wapuuzi’.

Surely hawa watu wangeweza kutimiza hazma yao ya kuiba na kuharibu nchi bila ya hizi senseless killings.

Kama una uwezo wa kuzuia mikutano kwa kutumia mamlaka yako vibaya. What do you aim to achieve kwa kuchukua maisha ya dereva zaidi ya ujinga tu.

So sad, ogopa sana watu wenye akili ndogo; kupewa mamlaka makubwa.

Vyombo vya usalama na ulinzi hii ilitakiwa kuwa risk analysis yao kabla ya kumpa Samia nchi.
 
Kutuma salamu ndio kuchukua uhai wa mtu kirahisi hivi.

Hizi familia zetu za kiafrica ukishamuondoa ā€˜bread winner’ unaenda umiza watu wengi sana nyuma yake.

Somo la bure, hapa ni ā€˜ogopa sana kukabidhi, madaraka makubwa kwa wapuuzi’.

Surely hawa watu wangeweza kutimiza hazma yao ya kuiba na kuharibu nchi bila ya hizi senseless killings.

Kama una uwezo wa kuzuia mikutano kwa kutumia mamlaka yako vibaya. What do you aim to achieve kwa kuchukua maisha ya dereva zaidi ya ujinga tu.

So sad, ogopa sana watu wenye akili ndogo; kupewa mamlaka makubwa.

Vyombo vya usalama na ulinzi hii ilitakiwa risk analysis yao kabla ya kumpa Samia nchi.
Kwakweli tumepatikana. Nchi imeshikiliwa na muimbaji wa taarabu ni vurugu tupu.
 
Ilianza na mazonge ya Msaidizi wa Lisu, akaponea tundu la sindano. sasa yamekuja haya ya dereva wa Heche.

Ukitafakari upande mmoja kuna watu wanoitwa wasiojulikana wanafanya Yao huku tabaka tawala wakikana kujihusisha nao. Plausible deniability, kimtaani ni kama kukodi mamluki unapoona umeshindwa mechi.

Upande ule mwingine, kuna wanaharakati ndani na nje huko. Wanaimba agenda za chama pinzani huku wakichochea "civil disobedience". Chama pinzani "in a way wanajiweka pembeni kama hayawahusu".

Ni nini tunatarajia kuvuna?
 
Silazima nisalimu Wana jamvi.

Katika Hali ya kushangaza na kustaajabisha, ni Jana Tu alitoa kauli kuwa anafuatiliwa na wasiojulikana.Leo Dereva wake kafa..NI kuna ujumbe umetumwa kwake ama Vipi?
SurešŸ’Æ hata yule msaidizi wa lissu walikuwa wanafikiaha ujumbe kwa lissu huko gerezani
 
Hivi huyu mama ametujambia au vipi mbona tukitaka kufanya maamuzi tuna6,6. Kwamba mjambo wake niwa sayari nyingine au?? Aisee huyu mama kama ni kutujambia mayai viza yaka some aisee huo ni mjambio wa kidigree ..RIP dereva
Kuna kundi kubwa la wahuni, experts wanamzunguka.
Ndio waliomuweka na ndo Wana control kila kitu.

Ndo wanaita deep state.

Ndo maana hata yeye anajificha kupita Maelezo. Yeye utamuona kwenye tv Wakati wa hafla tu. Kamwe hutamuona akikagua labda SGR kwa nini hawaanzi kusafirisha mizigo Toka bandarini live pale Bandarini. Vinginevyo bandari nzima operations zitafungwa

Ila ipo siku yake tu. Nchi imevimba sana.
Asilimia 0.5 tu ndio wanamkubali. Nao ni kwa sababu ya kazi tu na wazanzibar Wachache wapumbavu

Leo nimeshangaa ati wanarudisha mwendokasi ya Kibaha to kimara nauli 2000 kutoka 750.
 
Hivi huyu mama ametujambia au vipi mbona tukitaka kufanya maamuzi tuna6,6. Kwamba mjambo wake niwa sayari nyingine au?? Aisee huyu mama kama ni kutujambia mayai viza yaka some aisee huo ni mjambio wa kidigree ..RIP dereva
... sasa Muraa Weito mnataka kuzidisha tuchumvi jamaani, ... toka rini tena ng'wena imekuwa tena 'honey badger' jamaani?
šŸ˜…
 
Heche alianza kufuatiliwa kitambo sana...
Inawezekana wafuatioiaji hawakujua mizizi ya undugu kati ya Heche na dereva wake...

CDM watafute simu ya marehemu... Wanyonye mawasiliano yote ndipo waikabidhi Polisi.
... kama simu haikukutwa na marehemu chumbani basi aliyonayo itabidi aisaidie polisi! ... na kama ilikutwa chumbani basi ni kidhibiti kama vingine mpaka kazi yake itakapokwisha!
 
Huwa wanaanzia mbali kabla ya main tagert!

Kwanza wana mu weaken Target kwa kum eliminate mtu alie karibu nae!

Ili kusababisha panic mode ya tagert!!

Halafu then wakati tagert aki figure out afanye nini au nani amuamini tena kwa KAZI ya udereva ndio wanaenda kiulaini!!!
Hawataki kufanya kosa kama lile la Tundu Lisu,walimuacha dereva akiwa hai siku waliopanga kukamilisha mission dereva akamuokoa coz tuamini dereva alikua anapata information ya kila kitu ndio maana yeye na lisu hawakutoka kwenye Gari,

Sasa safari hii heche atakisa mtu muhimu wa siku nyingi anaetumiwa na unit ya usalama ambao wapo against na wasiojulikana!dereva mpya atakua mgeni wa mawasiliano ya Siri ndipo watatumia hiyo weakness kukamilisha mission yao!!

Nawaza na kuwazua wala sio mjuzi WA mambo haya!!!
Sidhani, wangetaka kumuua wangeweza tu sema nadhani ni ujumbe kuwa "watch out or else youre next". Na huyo sio mwingine ni katambi anataka kumuonyesha who's the boss.

Badala ya kudeal na mafisadi wao wanamaliza wasio na mamlaka.
 
Back
Top Bottom