Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,056
- 12,916
Chopa mbili zilianza safari, moja ikafika salama.Wakuu,
Isijekuwa huyu mwamba kajichimbia mahali kuwahadaa hawa wakuu wa baadhi ya nchi alizokuwa anaonekana nao.
Katika nchi zote alizokuwa anazitembelea na kukutana na marais wa hizo nchi, haijawahi kuwekwa wazi, ni nini hasa huwa anakifuata
Kenya raia walihoji, hakuna majibu,
Tanzania, south Africa na nchi zingine raia walihoji pia, hakuna majibu ya moja kwa moja kuwa, nini hasa hukifuata.
Napata walakini na hiki kifo, baada ya ajali kutokea, miili ilienda kuopolewa siku inayofuata.🤔
Vichwa vya yeye na mkewe havipo, nawaza, je! Kama hawa marais washirika wake kama walikuwa wanampa mapesa ameamua kuwatapeli kwa kushirikiana na rais wa Zimbabwe? Kisha yeye kujichimbia kwenye hilo hilo jumba lake? Nawaza.
Yeap . Mimi naona kafa tu kama watu wengine wanavyokufa .. kuna mentality fulani watu wanayo kwamba ukiwa na mali na pesa haufi kizembezembe ..shida ndio inapoanzia hapoKuna viwango vya kumiliki mali ukivifikia huwezi kuwaza kuigiza kifo hata angekuwa na kesi gani. Mtu ana donate land cruiser hardtop zero kilometer 10 za ambulance kwa serikali, awaze kuigiza amefariki!?, yule alikuwa na back up ya raisi wa nchi yake, angeogopa nini mpaka aigize amekufa!?,sema wafuasi wake hawaamini amewatoka ndo wanaanzisha hizi story.
Amini Amekwendaa Udongoni....🙏✍️Wakuu,
Isijekuwa huyu mwamba kajichimbia mahali kuwahadaa hawa wakuu wa baadhi ya nchi alizokuwa anaonekana nao.
Katika nchi zote alizokuwa anazitembelea na kukutana na marais wa hizo nchi, haijawahi kuwekwa wazi, ni nini hasa huwa anakifuata
Kenya raia walihoji, hakuna majibu,
Tanzania, south Africa na nchi zingine raia walihoji pia, hakuna majibu ya moja kwa moja kuwa, nini hasa hukifuata.
Napata walakini na hiki kifo, baada ya ajali kutokea, miili ilienda kuopolewa siku inayofuata.🤔
Vichwa vya yeye na mkewe havipo, nawaza, je! Kama hawa marais washirika wake kama walikuwa wanampa mapesa ameamua kuwatapeli kwa kushirikiana na rais wa Zimbabwe? Kisha yeye kujichimbia kwenye hilo hilo jumba lake? Nawaza.
Rhabhekhaa!!
Siku hizi natoka nimeacha uoga."Yasionihusu man ya watu nimeacha kubonga" kisiwa cha michano
Mademu wanapenda pesa nimeacha kugonga-zingatia michano"Yasionihusu man ya watu nimeacha kubonga" kisiwa cha michano