Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

Status
Not open for further replies.
Jamani ehh uchaguzi si ulishapita, sasa propaganda za nini? Nyie subirini 2015 mlambwe mtama kwa mara nyingine.

Nakuhakikishia patachimbika, si nyinyi mnajifanya mna hati miliki ya hii inchi. Subiri sasa yatawakuta ya Gadafi na Mubarak
 
Kwa nini nyie vijana wa CHADEMA mmenaswa na sumaku ya CHADEMA? Maana sumaku hiyo imewakamata na kushindwa kujinasua na hii inadhihirishwa pale mnaposhindwa kuona baya lolote la SLAA.

Inashangaza sana kuona vijana nyie mkimshabikia PADRI huyo bila kujua kuwa yeye ni mnafiki, msaliti na mlaghai mkubwa na hamkumbuki kuwa februari, 12, 2011 aliahidi kutohudhuria mahakamani kule Arusha?

Lakini tazama ndiye aliyekuwa wa kwanza kuhudhuria mahakamani hapo, je huu si unafiki, usaliti na ulaghai? Acheni kushabikia bila kutafakari, huo ni ububusa.

Kuweni huru kimawazo mtajua mengi ya mwanathioljia wenu anaetaka kuongoza nchi kwa kutumia upadri wake. Hvi tangu lini padri akongoza Nchi? Tafakarini vijana si kushabikia tu, mkifanya hivyo ni sawa kupuliza moto unaoashiria kutoa CHECHE halafu mjutie.
 
Acha CCM waongoze kupitia ukatoliki. Juzi katibu mkuu wa wanamagamba alifika ofisini kwa muadhama Pengo kupata maelezo toka Vatikani ambayo kikwete lazima ayatimize tu, Vinginevyo atanyofolewa kitini. Kwa maneno mengine, mtendaji mkuu wa shughuli za chama mukama lazima aulize vatikan je chama kikosahihi na huku padri slaa akionekana wazi kukiwania kiti cha ikulu. Kweli, wamekamatika, ukatoliki unatawala dunia yote.

Nasikia kule alikozaliwa muhamad bia zipo hotelini, unapata kilaji kwa nafasi yako. Oyee ukatoliki! (catholic = universal).
 
mhhh jamani mimi najua naweza kuwa zaidi yake japo kuwa yeye ni mzuri kama unavyomsifia, ni udhaifu mkubwa mno wa akili kusema hakuna kama yeye nchi nzima!!!!!!! time is coming
 
mkuu,hujaacha bangi tu???nafikiri baada ya form two ulidrop kumbe unaendelea.................angalia puff moja tu ya mwisho itakuumbua.
 
unamlinganisha slaa na magulifu kwa lipi kichwa kikubwa au umbo? maanake sijakuelewa.
 
mhhh jamani mimi najua naweza kuwa zaidi yake japo kuwa yeye ni mzuri kama unavyomsifia, ni udhaifu mkubwa mno wa akili kusema hakuna kama yeye nchi nzima!!!!!!! time is coming

kama yupo mtaje!! na kama yupo basi usingesikia jina la slaa popote tanzania na nje ya nchi, hiki ni kichwa adimu sana katika africa, labda nikutajie baadhi ya vichwa kama yeye, NELSON MANDERA, MWL. NYERERE, KWAME NKHRUMA, PATRICE RUMUMBA, EDWARD SOKOINE.....) na type ya JK ni wewe.
 
hivi akijaondoka tutakuja pata tena kweli mtu kama huyu???kweli jamaa ana akili sana

Pamoja na kukubali kwamba binadamu ni egoistic in nature, lakini Dk Slaa ni mzalendo anayestahili kuheshimiwa sana na taifa hilli. Si mnafiki, anauvumilivu na yuko makini sana. Wewe umenena.
 
Last edited by a moderator:
Jamani ehh uchaguzi si ulishapita, sasa propaganda za nini? Nyie subirini 2015 mlambwe mtama kwa mara nyingine.

Nani kazungumzia uchaguzi, au ndio maswala ya mchecheto? Vinginevyo basi hata bunge lisubiri 2015 halina sababu ya kukaa sasa vikao vyake.. vichwa vingine bwana.!!!
 
Ndio, najua siku za usoni watajitokeza wakali kuliko hata Dr. Slaa. Lakini kwa sasa hivi hakuna zaidi ya Dr. Slaa. Kama yupo atwaje tujadili mchango wake humu jamvini. Kwishnei
 
Jibu hoja kaka, make an avoidance on 'ID PRINCIPLE' otherwise it will still on costing your fixed mind. Je unafahamu kesi yake ya kupora mke wa mwenyewe imeishia wapi?

Kiongozi gani mzinifu hata inafikia kupora wake wa wenyewe? Tazama jinsi alivyoisaliti fani yake ya kumtumikia mungu na kukimbilia kwenye siasa kwenye maslahi zaidi na hii inadhihiri pale alipokishinikiza chama chake kumlipa 7milioni.

Halafu tazama jinsi anavyojaribu kutoa kibanzi kwa mwenzie wakati kwake kuna boriti na hii imedhihiri pale alipomtuhumu NAPE MNAUYE kuwa hajui siasa ilihali mwenyewe si fani yake au alijaribu kuwaghiribu watu wasahau kuwa yeye ni PADRI? Hatusau ng'o.
 
Jamani mtu anapostahili kupewa sifa na apewe,sasa wewe wapi wameandika ya kuwa lazima awe na sifa fulani?tunaomba utuandikie na wengine tuzifaamu,hivi tunavyokuwa na viongozi vilaza we unaona raha na madocta wa kubumba we ndo furaha yako,bila yeye nani angejua madudu mengi yaliyokuwa yakifanywa serikalini?Acha na yeye aongoze ili tuone mwisho wake,siyo kutueleza mambo ya kusadikika ambayo yamepitwa na wakati
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom