Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

Status
Not open for further replies.
Acha CCM waongoze kupitia ukatoliki. Juzi katibu mkuu wa wanamagamba alifika ofisini kwa muadhama Pengo kupata maelezo toka Vatikani ambayo kikwete lazima ayatimize tu, Vinginevyo atanyofolewa kitini. Kwa maneno mengine, mtendaji mkuu wa shughuli za chama mukama lazima aulize vatikan je chama kikosahihi na huku padri slaa akionekana wazi kukiwania kiti cha ikulu. Kweli, wamekamatika, ukatoliki unatawala dunia yote.

Nasikia kule alikozaliwa muhamad bia zipo hotelini, unapata kilaji kwa nafasi yako. Oyee ukatoliki! (catholic = universal).


Sasa wewe unaharibu mada iliopo kwa kuingiza udini humu. Au na wewe ni wale wale mliotumwa unakuja kwa njia nyingine....? Acha kupotosha mada kwa kuingiza udini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom