Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

Status
Not open for further replies.
Ujue kwa kadri ya Dk Slaa,waziri wa fedha katudanganya...kwenye katiba kasema atafufua reli na shirika la ndege...lakini haonyeshi hizo hela za kufufa hayo mashirika zipo wapi...kwahiyo kasema kama zimefichwa watuambie...miradi mipya haijabainishwa pia...isitoshe hela nyingi zimeenda kwenye wizara chache(kama 6 hizi ) sasa wizara nyingiine watatoa wapi fedha za kuendeshea wizara hizo ilhali fedha zote za bajeti zimeeda kwenye wizara 6 tu...???
 
Dr. Slaa ameulizwa ataje mazuri japo machahche ya Budget ameuma maneno..... He was supposed to be fair hata kidogo
 
tusipende kuongeya kiushabiki anaongeya kwa data mfano wewe kipato chako ni rakimoja kwa wakati huo huo unapanga bajeti ya mirion hinyingine utaitowa wapi wakati pato rako limeishia hapohapo
 
Kweli DR Kichwa aisee jamaa anafaa kuwa RAIS,ameiongelea bajeti vizuri sana,MUNGU AKUBARIKI DR WA UKWELI
 
JUMA alimuuliza swali inamaana kila kitu wewe wakosoa tu hakuna kizuri? KATIKA BAJETI AU SERIKALI????,dk akajing'ata NG'ATA hoo oooh oo muda wakipindi nimchache cjuhi nisaa moja tu haitoshi kusifia natoa mapungufu ili kuisaidia serikali na kitabu kimoja chamazuri ya matumizi ya fedha za serikali nimekiacha.kume dokta akisutwa anaelewa e!!! napendekeza naye awekwe selo kidogo hop akitoka atasifia bajeti kama mwenyekiti wake.
 
Ujue kwa kadri ya Dk Slaa,waziri wa fedha katudanganya...kwenye katiba kasema atafufua reli na shirika la ndege...lakini haonyeshi hizo hela za kufufa hayo mashirika zipo wapi...kwahiyo kasema kama zimefichwa watuambie...miradi mipya haijabainishwa pia...isitoshe hela nyingi zimeenda kwenye wizara chache(kama 6 hizi ) sasa wizara nyingiine watatoa wapi fedha za kuendeshea wizara hizo ilhali fedha zote za bajeti zimeeda kwenye wizara 6 tu...???

Hivi ni kwenye katiba au kwenye budget? Sielewi, au katiba na budget ni kitu kimoja?
 
mbona haujasema pia swali la juma wa newala alie msuta??? dk kakubali kusutwa kasema bajeti inamazuri ktk elimu
 
Hujui wapi umetoka,uko wapi, na wapi unakwenda,
wewe binafsi unakiona cha kusifu kwenye hiyo bajeti,
kama kuna kitu chochote kizuri umena kimefanywa na serikali
kwa mwaka wa fedha uliokwisha basi unaweza kuambulia cha kusifia.
 
Dr. Slaa ameulizwa ataje mazuri japo machahche ya Budget ameuma maneno..... He was supposed to be fair hata kidogo

Acha umagamba wewe uzuri uko wapi? Porojo unaita uzuri?Bajeti iko ki porojo tu! na sasa nikuulize wewe unayoyaona mazuri kwenye hiyo Bajeti ni yapi?Na ujue Serikali yako ya magamba ina 0.5 % perfomance efficiency...hata hicho unachokiona wewe ni kizuri katika Bajeti(kama kipo) kwa utendaji wao kitakuwa kibaya kama bomu la kutupa na mkono...!!
 
slaa kasutwa na jamaa wa newala anaitwa juma kwa swali moja tu je hauoni zuri lolote??? akajibu yapo ila muda wakipindi mchache na elimu imetengewa fedha na nimfano mnzuri
 
JUMA alimuuliza swali inamaana kila kitu wewe wakosoa tu hakuna kizuri? KATIKA BAJETI AU SERIKALI????,dk akajing'ata NG'ATA hoo oooh oo muda wakipindi nimchache cjuhi nisaa moja tu haitoshi kusifia natoa mapungufu ili kuisaidia serikali na kitabu kimoja chamazuri ya matumizi ya fedha za serikali nimekiacha.kume dokta akisutwa anaelewa e!!! napendekeza naye awekwe selo kidogo hop akitoka atasifia bajeti kama mwenyekiti wake.

Acha unafiki wewe, then title yako umetumia neno Kusutwa umeonyesha wazi una chuki binafsi.
 
Vibaraka wa Nape na Mukama utawajuwa tu kutokana na tarehe zao walizojiunga JF.

user-online.png
kichapo2015

Today 07:14 PM
#1
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 10th June 2011
Posts : 17
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0
 
Kijana wa NAPE yupo kazini anatumia makamasi kufikiria badala ya ubongo akili kafungia kabatini,haya baba nenda ofisini za CCM ukachukue posho kwa kazi uliyotumwa.
 
JUMA alimuuliza swali inamaana kila kitu wewe wakosoa tu hakuna kizuri? KATIKA BAJETI AU SERIKALI????,dk akajing'ata NG'ATA hoo oooh oo muda wakipindi nimchache cjuhi nisaa moja tu haitoshi kusifia natoa mapungufu ili kuisaidia serikali na kitabu kimoja chamazuri ya matumizi ya fedha za serikali nimekiacha.kume dokta akisutwa anaelewa e!!! napendekeza naye awekwe selo kidogo hop akitoka atasifia bajeti kama mwenyekiti wake.
Mkuu hata wewe? hivi hata mchawi hana mazuri yake? ina maana kama unakataa uchawi na kuzungumzia ubaya wa mchawi unatakiwa kwanza uzungumzie mazuri yake?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom