Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

Status
Not open for further replies.
padri wazaman kajibu;kunavitu vzur ktk bajeti lakini saa 1 lakipindi halitoshi kuelezea mazuri anatoa mapungufu ili kuisaidia serikali.ya siounakosoakosoa tu
 
When you listen to Dr.Slaa,you can only admire him more! Amesema yeye kazi yake ni kuwajulisha wananchi yale yasiyoonekana na si kuisifia serikali...
 
Kuna mjumbe mmoja anamponda Dr. Slaa aache siasa za hisia, sijui siasa za hisia ndiyo zipi huyo ni mmojz wa wananchi toka Mtwara. Kubali reality, tuachie Tanzania yenye amani.
Jibu la Dr. Slaa.

Anashukuru naye Juma (mpiga simu) kuwa naye amesema kwa hisia.

Jama wa Newala hajamsoma Dr. Dr hazungumzii siasa hapa. Angefanya hivyo tungefunga tv - kampotezea muda dr.
 
Yaani saa moja limepita kama mchezo, duuuuh mjadala ulikuwa mtamu lakini muda ndiyo umekuwa kikwazo.
 
Analalamika bila point, duuuuh sijui unaangalia channel gani? Acha ubabaishaji kuwa mzalendo utakusaidia, mtu akifanya zuri msifu akikosea muonye. Kama huoni point za Dr. Slaa basi utakuwa shule ulipita haijakusaidia.


Mzee huyu hawezi kuwa amepita shule..labda shule ilimpita!
 
dah huyu jamaa kaichambua vizuri sana katiba...aise yuko deeeeeeeeeep!!
 
kazi kweli kweli nipo katikati ya giza nashindwa kumcheki presidaa sababu ya magamba machache, angalau nipo na kasimu kangu ka mchina kananiliwaza na jf nako katazimika chaji sasa hivi, endeleeni ku2juza mlio na umeme.

Mkuu pole sana bt usikate tamaa yatakwisha tu Omba mungu amlinde Dk 2015 azame mjengoni mambo yatakua orayt bt kwa hawa magamba wa sasa hakuna matumaini mkuu wanatuua tu.
 
Huku ndo hvyo tuko gizani kana kwamba mwaka jana nchi imetoka vitani,tujuzeni jamani wenye kuona utamu wa the Dr.
 
uzuri wa mtangazaji kamwachia dokta uwanja ajimwage...hajamkatishakatisha kabisa kabisa,dk kaflow,nilipenda lile swali la jamaa wa newala ''kadai dk ana siasa za vengas''...mwandishi kaachwa chali haelewi maana ya vengas....dk katika kujibu akasema siasa za visasi...hahaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom