Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

Status
Not open for further replies.
Hivi ni kwenye katiba au kwenye budget? Sielewi, au katiba na budget ni kitu kimoja?

Aggh thanx kwa kunirekebisha...ni budget na sio katiba....ujue hili la katiba limekaa sana akilini..thtz y nikakomfyuz
 
Nimependa sana Dr.alivyo mjibu Jamaa wa Newala!!Jamaa wa Newala aliongea kwa Hisia sana akitaka kuaminisha Watu Dr. Haitakii mema hii Nchi na anahatarisha Amani ya Nchi kwamba Dr ana kisasi Age imeenda soon he'll have gone coz yupo kwenye 62yrs Jamaa anasauti Ya Kizee kabisa anajidai yupo kwenye 30s so Dr asiharibu Nchi Vijana wakakosa pakukimbilia!!Dr akamjibu kistarabu sana kwamba anachokiöngea ni Hisia zake pia Hofu ndo inamsumbua, Kwamba Dr.tangia amefika Studio hajaongelea Cdm wala kuitaja anachoongelea na kuchambua ni Takwimu ambazo zipo kwenye vitabu vya Budget ambavyo Wananchi wamepotoshwa au kufichwa juu ya kilichomo.
 
kaulizwa swali na juma wa newala kachemka kujibu kaishia muda wakipind hautoshi kusifia mazuri ya serikali
Vijana wa NAPE. Subirini tu. Time will Tell ila ninavyofahamu hauna hana tone la busara alizo nazo Dokta slaa. kwa kifupi jiandae
tu huyu ndio rais wako ajaye. taka usitake. halafu kama unataka akuoe sema tu usione soo.
 
slaa kasutwa na jamaa wa newala anaitwa juma kwa swali moja tu je hauoni zuri lolote??? akajibu yapo ila muda wakipindi mchache na elimu imetengewa fedha na nimfano mnzuri
Kijana wa NAPE naona upo kazini unawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo akili umeifungia kabatini,haya baba nenda ofisi za CCM UKACHUKUE POSHO YAKO,INAONEKANA UNAPENDA TAARABU
 
Kwel Dr. Ni noma...yan had ccm wanalilia kusifiwa nae ha haa haa na bado ndo kwanza shaban..ramadhan baaado
 
Hawa Jamaa wanaolipwa na Nape hakuna haja yakuwaquote nakuwajibu tuwapotezee tu watasepa wenyewe wasitupotezee muda kabisa we unamsoma Mtu unaona lengo lake nikupotosha huku ukweli anaufahamu,Mtu wa ivyo unamjibu ili iweje!!
 
A loser DK Slaa, anajichanganya na Mwenyekiti wake Mbowe yeye kasifia bajeti kaisema ni nzuri. Loser Dk Slaa yeye anapinga sijui nani mkweli Mwenyekiti au Katibu Mkuu
 
namfatilia kwa umakini raisi wangu..

2015 atakapo piga chini mara ya pili kikwelikweli mbona mtamkana? Unajua abunuwasi kuna ndoto zake alikuwa anauwezo hata kujenga nyumba angani, sasa zinataka kukaribiana na hizi.

Raisi wako ni JK upende usipende. Slaa mwenyewe anamtambua raisi wake tena kila akimuona anamumezea mate kwa kumpiga bao la kisigino.

Kuhusu huyo mwanasiasa niambie alikuwa anatoa mawazo gani kuhusu bajeti? wabunge wote waige wabunge wangu wa Kigoma.
 
Hawa Jamaa wanaolipwa na Nape hakuna haja yakuwaquote nakuwajibu tuwapotezee tu watasepa wenyewe wasitupotezee muda kabisa we unamsoma Mtu unaona lengo lake nikupotosha huku ukweli anaufahamu,Mtu wa ivyo unamjibu ili iweje!!
sasa wewe mbona umewazungumzia,umewazungumzia ili iweje? siungewapotezea tu, au wewe ndio unaumwa ugonjwa wa Kinapenape
 
uzuri wa mtangazaji kamwachia dokta uwanja ajimwage...hajamkatishakatisha kabisa kabisa,dk kaflow,nilipenda lile swali la jamaa wa newala ''kadai dk ana siasa za vengas''...mwandishi kaachwa chali haelewi maana ya vengas....dk katika kujibu akasema siasa za visasi...hahaaaa

Vengeance-synonymous with avenge, revenge.
 
uzuri wa mtangazaji kamwachia dokta uwanja ajimwage...hajamkatishakatisha kabisa kabisa,dk kaflow,nilipenda lile swali la jamaa wa newala ''kadai dk ana siasa za vengas''...mwandishi kaachwa chali haelewi maana ya vengas....dk katika kujibu akasema siasa za visasi...hahaaaa

Hapana mkuu!! Hamza anaujua ung'eng'e bwana - ni Cambridge yule - alitumia falsafa ya kutaka mhusika (Dr) afafanue mwenyewe na aunganishe na kujibu swali.
 
JUMA alimuuliza swali inamaana kila kitu wewe wakosoa tu hakuna kizuri? KATIKA BAJETI AU SERIKALI????,dk akajing'ata NG'ATA hoo oooh oo muda wakipindi nimchache cjuhi nisaa moja tu haitoshi kusifia natoa mapungufu ili kuisaidia serikali na kitabu kimoja chamazuri ya matumizi ya fedha za serikali nimekiacha.kume dokta akisutwa anaelewa e!!! napendekeza naye awekwe selo kidogo hop akitoka atasifia bajeti kama mwenyekiti wake.
Mliotumwa na Nape tunaanza kuwaelewa.
Join Date : 10th June 2011
Posts : 18
Thanks0
Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0
 
A loser DK Slaa, anajichanganya na Mwenyekiti wake Mbowe yeye kasifia bajeti kaisema ni nzuri. Loser Dk Slaa yeye anapinga sijui nani mkweli Mwenyekiti au Katibu Mkuu
Akili mgando mama yako ameshaachika kwa NAPE au bado?mi namtaka
 
JUma Nwelewa ameboa, ni mmoja wa watanzania ambao hawatakiwi nchini. Hakuna uwoga kama ni kushika mtutu shika tu!
 
Mliotumwa na Nape tunaanza kuwaelewa.
Join Date : 10th June 2011
Posts : 18
Thanks0
Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0


Na wako wengi kweli....ukisema utaona tu mawazo yao ya KINEPI NEPI..mi nawachukulia kama wale vijana waliosombwa kwenda kuvuruga kwenye mdahalo wa Katiba...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom