mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,488
- 2,979
- Thread starter
- #101
MatusiKipi hicho ,pumbavu sio tusi , nyie maccm mtafundishwa mpaka lini, akili yenu mbona ipo chini sana?
MatusiKipi hicho ,pumbavu sio tusi , nyie maccm mtafundishwa mpaka lini, akili yenu mbona ipo chini sana?
Neno pumbavu maana yake nini?Matusi
Acha matusi kwanza,Si ije tu kama ya Kenya, unawashwa washwa nini sasa
MatusiNeno pumbavu maana yake nini?
Tatizo mlisema mtakinukisha.Tatizo sio kutoshiriki.Usishiriki uchaguzi lakini usifanye fujo ,usimzuie anayataka kupiga kura.Kumzuia na kumfanyia fujo anayetaka kupiga kura sio haki.Wizi wa kura toka 2019, 2020 na 2024 na kuua watu ni haki??
Kuua watu kwenye chaguzi ndio haki?
Mtu kusema hatoshiriki uchaguzi Kuna shida gani yaani mnataka watu waendelee kuuawa kwa sababu ya chaguzi za kuhuni
Hakuna mtu makini awe pastor, mwanasiasa, padri au mwananchi wa kawaida anaweza kukubali uhuni unaofanywa na CCM
Bora tusipige kula wajichague wenyewe watawale kuliko kuendelea kuua watu sababu ya madaraka!!
Kwa nilivyokuelewa ni umekiri kwamba chadema ni chama cha kidini kupitia ufahamu wa kwamba inchi inaendeshwa na kanisaElewa code!
Ukiona TEC wanazungumza ujue wenye Dola ndio wanazungumza kupitia wao!!
Ukiona nyaraka zinasomwa na viongozi wa dini kama ule wa do world ujue wenye Dola hawajapendezwa na mwenyekiti yupo hatiani ama arekebishe au ajiandae kuondolewa kitini Kwa namna ambayo itaonekana inafaa!!
Utawala wa jpm umenifunza mengi sana,na procedures no zile zile!!
Unakumbuka mchezo uliotumika kuusambaratisha wanamtandao enzi za kikwete!!?jinsi padri Dr. Slaa alivyotumika kuumaliza mtandao wa kikwete Kwa kumuondoa Lowasa kwenye system!?
Unafikiri ilikua bahati mbaya!!?
Kuna jambo Moja tu naliogopa nalo ni mwenyekiti atakapoona aondoke kitini na Lisu!!unanielewa!!?mashekh kuhukumiwa kunyongwa sio kwa bahati mbaya nadhani ni wake up call kwamba anaweza kuondoka na kichwa Cha mtu!!nadhani system itakua pro active kwenye hilo coz mtu anapopoteza madaraka hatotaka ayapoteze kilelemama lazima na na yeye ataamua kuwaachia majeraha wale waliomtuma chambo Cha process nzimae ya no reform no election!
Mawazo TU haya!!
Mkuu nimekutukana tusi gani, sipendi tukanwa na sipendi tukana mtu mwingine ,Acha matusi kwanza,
Wa kuombwa msamaha ji Mungu pekee, sisi binadamu unafuta tu kauli yakoMkuu nimekutukana tusi gani, sipendi tukanwa na sipendi tukana mtu mwingine ,
Aya tusi lipi nimekutukana ili niluombe msamaha
Uzi wako ni wa kijingaKwanini matamko yao yanaungwa mkono na viongozi wa dini?
Ni either wanaanza wao kusema au kutoa tamko na halafu viongozi wa dini flani wanaunga mkono na kusisitiza au wananza viongozi wa dini flani kisha wao wanaunga mkono na kusisitiza,
Tena hao viongozi wa hicho chama wanatoa matamko ya kuamrisha serikali na wala sio kushauri au kupendekeza
Yaani ni amri tu kwanini lakin
Waungwana msifute hii, acheni tujadili tupeane faida
TanoNdiyo maana nimekushauri tuanze kwanza na Bakwata. Au unataka kusema kama Bakwata huikubali, hiyo dini nyingine ndiyo unaikubali?
Nakubaliana na wewe mkuu , aya nifute kauli ipi ambayo imekuudhi mkuuWa kuombwa msamaha ji Mungu pekee, sisi binadamu unafuta tu kauli yako
Nilitaka kushangaa muda wote hujaonekana?Uzi wako ni wa kijinga
Atajibuje upumbavu?Nilitaka kushangaa muda wote hujaonekana?
Jibu swali tafadhali hapo bado hujajibu
Siyo viongozi wa dini, sema viongozi wa RC, RC ni kanisa baguzi sana halafu ina arrogance flani, inajiona ndio yenye wafuasi wengi, inafikiri linaogopwa ukwl ni kuwa hakuna anayewajali. Wameshazoeleka hawana ht aibu kila Rais akiwa muislam hawatuliagi ni nyaraka. Bahati nzuri nchi hii inawafahamu, siku hizi wanapuuzwa ni sawa na mbwa asiye na meno. Wanajiaibisha tu bora wangetulia. Waombe hekima na maarifa ya KimunguKwanini matamko yao yanaungwa mkono na viongozi wa dini?
Ni either wanaanza wao kusema au kutoa tamko na halafu viongozi wa dini flani wanaunga mkono na kusisitiza au wananza viongozi wa dini flani kisha wao wanaunga mkono na kusisitiza,
Tena hao viongozi wa hicho chama wanatoa matamko ya kuamrisha serikali na wala sio kushauri au kupendekeza
Yaani ni amri tu kwanini lakin
Waungwana msifute hii, acheni tujadili tupeane faida
Yaani we jamaa!!Kwa nilivyokuelewa ni umekiri kwamba chadema ni chama cha kidini kupitia ufahamu wa kwamba inchi inaendeshwa na kanisa
Hongera kwa kushiriki na kujibu
Rais dhaifu akishindwa kuongoza Kwa weledi daima hukimbilia kujificha kwenye kivuli cha udini akitumia machawa kutoka dini yakeKwanini matamko yao yanaungwa mkono na viongozi wa dini?
Ni either wanaanza wao kusema au kutoa tamko na halafu viongozi wa dini flani wanaunga mkono na kusisitiza au wananza viongozi wa dini flani kisha wao wanaunga mkono na kusisitiza,
Tena hao viongozi wa hicho chama wanatoa matamko ya kuamrisha serikali na wala sio kushauri au kupendekeza
Yaani ni amri tu kwanini lakin
Waungwana msifute hii, acheni tujadili tupeane faida
Chadema siyo chama cha kidini.CHIEF PRIEST jamaa yako kala kona
Nimeuliza swali mimi wala sikutaka kuungwa mkono, yeyote anaweza kujibu
Swali: je chama kile ni cha kidini?
Chadema siyo chama cha kidini.CHIEF PRIEST jamaa yako kala kona
Nimeuliza swali mimi wala sikutaka kuungwa mkono, yeyote anaweza kujibu
Swali: je chama kile ni cha kidini?
Safi sana, naendelea na utafitiChadema siyo chama cha kidini.
Hapana...na mimi nimeuliza piaMimi nimeuliza tu ungeweza kusema ndio au hapana basi