mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,488
- 2,979
- Thread starter
- #121
Kuwa na ukali na minguvu ndio ushupavu? Udhaifu unaupimaje? Kwa matamanio yako? Kwamba rais ni muislam tumlabel dhaifu lakini mwenzetu tumlabel shujaa?Rais dhaifu akishindwa kuongoza Kwa weledi daima hukimbilia kujificha kwenye kivuli cha udini akitumia machawa kutoka dini yake
Uadilifu ni shida sana