Hiki chama ni cha kidini?

Hiki chama ni cha kidini?

Kwanini matamko yao yanaungwa mkono na viongozi wa dini?

Ni either wanaanza wao kusema au kutoa tamko na halafu viongozi wa dini flani wanaunga mkono na kusisitiza au wananza viongozi wa dini flani kisha wao wanaunga mkono na kusisitiza,

Tena hao viongozi wa hicho chama wanatoa matamko ya kuamrisha serikali na wala sio kushauri au kupendekeza
Yaani ni amri tu kwanini lakin

Waungwana msifute hii, acheni tujadili tupeane faida
Ni chama cha watu enlightened, sasa enlightenment haipo upande wenu maana hampendi elimu kutwa kucha kukimbizana na ndoa na viandazi mkononi na vipande vya ndizi
 
Huwa nina tabia ya kulipa madeni, na riba juu, na riba yangu ni kubwa sana
Yaani 1 kwa 15,000 mara 7 days tu inatosha

Nasubiria mrejesho
 
Ni chama cha watu enlightened, sasa enlightenment haipo upande wenu maana hampendi elimu kutwa kucha kukimbizana na ndoa na viandazi mkononi na vipande vya ndizi
Ni kweli aisee hata nyie mkiwa na njaa mnakula hiyo enlightenment,
Famchezo na njaa wewe?
 
Back
Top Bottom